Mapishi ya Mchaganyiko wa kuku, brocolli, celery na mbogamboga

Mapishi ya Mchaganyiko wa kuku, brocolli, celery na mbogamboga

Dada farkhina, uzuri wa mapishi yako ni vitu ambavyo ninaweza nikavipata kwa urahisi sokoni..hii nimeipenda!!!! Ubarikiwe..
 
Last edited by a moderator:
Nice meal kiukweli, kwa mtindo huu mtu akila kwa watu ntamfinya mdomo!
Missed u

Sssssssssss....yummy
 
Ni aibu kujamba hadharani, bora wende pembeni. Kasheshe ni ile uko peke yako unaliachia, afu mtu anaingia.

Mie siwezi kuuachia mbele za watu bwana. Nyaenda toilet lol. Ila nina rafiki ananyanyua mguu kabisa, akesha anashusha pumzi na kusema excuse me
 
Back
Top Bottom