Mapishi ya Mishkaki ya Nyama ya Ng'ombe

Mapishi ya Mishkaki ya Nyama ya Ng'ombe

Zurie

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,012
Reaction score
5,571
Mishkaki Ya Nyama

Mahitaji:

Nyama steki...............4 Ratili (2 Kilo)

Mafuta........................3 Vijiko vya supu

Masala ya Kurowekea Nyama:

Kitunguu saumu/thomu na tangawizi iliyosagwa..........2 kijiko cha supu

Pilipili mbichi iliyosagwa................................................1 kijiko cha supu

Papai bichi kiasi lililochunwa..........................................½ papai

Siki nyeupe......................................................................3 vijiko vya supu

Chumvi.............................................................................kiasi

Jiyrah (cummin powder/bizari ya pilau)..........................kijiko cha supu

Dania (coriander powder/gilgilani).................................1 kijiko cha chai

Pilipili nyekundu ya unga.................................................1 kijiko cha supu

Mdalasini wa unga............................................................1 kijiko cha chai

Namna Ya Kutayarisha na Kupika:

  • Kata nyama vipande vikubwa kubwa kiasi.
  • Changanya masala na vitu vyote katika nyama uroweke kwa muda wa masaa mawili.
  • Tunga vipande vya nyama katika vijiti vya kuchomea kababu (kabaab skewers).
  • Choma katika jiko la makaa au katika la B.B.Q kwa moto wa kiasi ukiwa unazigeuza geuza hadi nyama iwive.
  • Epua, weka katika sahani ikiwa tayari kuliwa.
 
Asante, hope hata mapande ya nyama (T bone) ya Kuchoma inaweza kuwa nzuri kwa mtindo huu wa uchanganyaji viungo
 
  • Thanks
Reactions: kui
Asante, hope hata mapande ya nyama (T bone) ya Kuchoma inaweza kuwa nzuri kwa mtindo huu wa uchanganyaji viungo
Hio mix ya viungo ni nzuri sana...ila papai linalainisha sana nyama hivyo muda inabd upunguzwe T-bone isije kuorojeka
 
Thanks, ni bonge la changamoto kuwa na nyama laini ya kuchoma, hope hiyo siki nyeupe ndio white vinegar
 
Mishkaki Ya Nyama

Mahitaji:

Nyama steki...............4 Ratili (2 Kilo)

Mafuta........................3 Vijiko vya supu

Masala ya Kurowekea Nyama:

Kitunguu saumu/thomu na tangawizi iliyosagwa..........2 kijiko cha supu

Pilipili mbichi iliyosagwa................................................1 kijiko cha supu

Papai bichi kiasi lililochunwa..........................................½ papai

Siki nyeupe......................................................................3 vijiko vya supu

Chumvi.............................................................................kiasi

Jiyrah (cummin powder/bizari ya pilau)..........................kijiko cha supu

Dania (coriander powder/gilgilani).................................1 kijiko cha chai

Pilipili nyekundu ya unga.................................................1 kijiko cha supu

Mdalasini wa unga............................................................1 kijiko cha chai

Namna Ya Kutayarisha na Kupika:

  • Kata nyama vipande vikubwa kubwa kiasi.
  • Changanya masala na vitu vyote katika nyama uroweke kwa muda wa masaa mawili.
  • Tunga vipande vya nyama katika vijiti vya kuchomea kababu (kabaab skewers).
  • Choma katika jiko la makaa au katika la B.B.Q kwa moto wa kiasi ukiwa unazigeuza geuza hadi nyama iwive.
  • Epua, weka katika sahani ikiwa tayari kuliwa.
Safi sana.

Napenda sana mishkaki na sijawahi kula mishkaki mitamu kama ile ya Samaki Samaki.

Sijui huwa wanai marinate na nini tu na sijui huwa ni nyama ya sehemu gani ila ni mitamu kuzidi maelezo.
1472478439327.jpg

Halafu umesema choma kwenye jiko la mkaa au la B.B.Q.....sijakuelewa hapo...

B.B.Q ni aina ya jiko au...?
 
Mishkaki Ya Nyama

Mahitaji:

Nyama steki...............4 Ratili (2 Kilo)

Mafuta........................3 Vijiko vya supu

Masala ya Kurowekea Nyama:

Kitunguu saumu/thomu na tangawizi iliyosagwa..........2 kijiko cha supu

Pilipili mbichi iliyosagwa................................................1 kijiko cha supu

Papai bichi kiasi lililochunwa..........................................½ papai

Siki nyeupe......................................................................3 vijiko vya supu

Chumvi.............................................................................kiasi

Jiyrah (cummin powder/bizari ya pilau)..........................kijiko cha supu

Dania (coriander powder/gilgilani).................................1 kijiko cha chai

Pilipili nyekundu ya unga.................................................1 kijiko cha supu

Mdalasini wa unga............................................................1 kijiko cha chai

Namna Ya Kutayarisha na Kupika:

  • Kata nyama vipande vikubwa kubwa kiasi.
  • Changanya masala na vitu vyote katika nyama uroweke kwa muda wa masaa mawili.
  • Tunga vipande vya nyama katika vijiti vya kuchomea kababu (kabaab skewers).
  • Choma katika jiko la makaa au katika la B.B.Q kwa moto wa kiasi ukiwa unazigeuza geuza hadi nyama iwive.
  • Epua, weka katika sahani ikiwa tayari kuliwa.
Zurie asante sana ugonjwa wangu huu
 
Hio mix ya viungo ni nzuri sana...ila papai linalainisha sana nyama hivyo muda inabd upunguzwe T-bone isije kuorojeka
Naomba nieleweshe jinsi ya kutumia papai kwenye hiyo nyama,unasagia papai baadae unalitoa au unachoma hivyo hivyo na vipande vyake vya papai
 
Unatoa nyama unaichoma tu....ni kama unavyoweka kwenye tangawizi...
 
Duh hatari sana, umenikumbusha pale Tabata Kwa mfojo, jamaaa ana mishkaki mizuri
 
Mishikaki haipikwi!!!

Inachomwa, hivyo basi kusema "mapishi ya mishikaki" ni kuikosea lugha kwa makusudi.
 
Back
Top Bottom