Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,012
- 5,571
Mishkaki Ya Nyama
Mahitaji:
Nyama steki...............4 Ratili (2 Kilo)
Mafuta........................3 Vijiko vya supu
Masala ya Kurowekea Nyama:
Kitunguu saumu/thomu na tangawizi iliyosagwa..........2 kijiko cha supu
Pilipili mbichi iliyosagwa................................................1 kijiko cha supu
Papai bichi kiasi lililochunwa..........................................½ papai
Siki nyeupe......................................................................3 vijiko vya supu
Chumvi.............................................................................kiasi
Jiyrah (cummin powder/bizari ya pilau)..........................kijiko cha supu
Dania (coriander powder/gilgilani).................................1 kijiko cha chai
Pilipili nyekundu ya unga.................................................1 kijiko cha supu
Mdalasini wa unga............................................................1 kijiko cha chai
Namna Ya Kutayarisha na Kupika:

- Kata nyama vipande vikubwa kubwa kiasi.
- Changanya masala na vitu vyote katika nyama uroweke kwa muda wa masaa mawili.
- Tunga vipande vya nyama katika vijiti vya kuchomea kababu (kabaab skewers).
- Choma katika jiko la makaa au katika la B.B.Q kwa moto wa kiasi ukiwa unazigeuza geuza hadi nyama iwive.
- Epua, weka katika sahani ikiwa tayari kuliwa.