Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Kilimanjaro wapewe maua yao kwa mtori mzuri asee, nimekaa tarakea kama miezi 6 hivi yule mama MUNGU ambariki sana ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazma pakufurahishe.. si ndo kwenu.. ukitoka kule wanaopanga kuuza ndugu๐๐ kilio cha furaha.. nmefurahishwa upande wa central zone ๐๐
๐๐๐๐๐๐๐ hii ni kubwaโฆ. Naomba niijibu PMโฆ ๐ ilaaaa this time mwalimu tumepata ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃLazma pakufurahishe.. si ndo kwenu.. ukitoka kule wanakopanga kuuza ndugu
Mimi pia, yani kuna harufu fulani hivi ya nyama iliyoiva sana ambayo huwa inanishindaMoja ya mlo ulionishinda...mtori
Hahaha, umenifanya nikumbuke ukienda soko la mabibo na hii mvua kuna tope si mchezo. Kuna wamama wapo pale getini kukuosha miguu sh. 200.Dsm kila kitu fursa.Na k wako akiwemo nae fake[emoji23][emoji23]watu wale hata miwa hawajui kumenya mpk wameletewa mashine, kuna sehemu nilienda kulikuwa na mvua nikashangaa kuona watu hawawezi kuvuka maji ya magoti mpaka wabebwe mgongoni[emoji23][emoji23]
Mambo ya daslamHahaha, umenifanya nikumbuke ukienda soko la mabibo na hii mvua kuna tope si mchezo. Kuna wamama wapo pale getini kukuosha miguu sh. 200.Dsm kila kitu fursa.
NiceKuna ndizi zinaitwa ndizi Uganda hizi ni nzuri zaidi......inategemea na wewe idadi ya watu wako ila hapa mahitaji :ndizi Uganda kichane 1,mafuta ya kupikia vijiko 5vya chakula siyo lazima,nyama Ikg yenye mifupa inayotoa soup....siyo nyama isiyotoa soup utachemka,chumvi kiasi,vitunguu maji 2vikubwa ,nyanya1kubwa........viazi burugwa au vya chips wakishua zaidi wanaita french fries [emoji489] viwili vikubwa.......so menya ndizi zako na uzikata mtindo wa kapicha hapo juu vipande vyembaba ,chemsha nyama hakikisha Ina soup ya kutosha,menya viazi kitunguu na nyanya pia viazi kata mtindo mwembamba.....Osha ndizi zako vizuri tia jikoni na maji kidogo.. tia nyama kama haikulainika sana usiweke soup toa nyama tu...weka kitunguu,nyanya ,mafuta sio lazima, tia viazi, tia chumvi kiasi,funika vichemke maji yakikaukia ongeza mpaka uhakikishe ndizi na viazi vimeiva......Anza kusonga kama unasonga ugali waweza tumia mpekecho....ongeza soup kidogo kidogo mpaka uimalizie yote mtori wako utakuwa tayari Kwa matumizi.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wazee wa kurahisisha maisha hawataki kabisa kusumbuka hata kisamvu wanablend tu kikipakuliwa waweza hisi uharo wa ng'ombe
[emoji28][emoji28][emoji28]Nimekumbuka kiburu cha bibi yangu pale mahoma moshi, dah
Mtori wa kilimanjaro una pikwa na ndizi maalumu , nyama nyingi na magimbi lazima uwe mtamu.Kilimanjaro wapewe maua yao kwa mtori mzuri asee, nimekaa tarakea kama miezi 6 hivi yule mama MUNGU ambariki sana [emoji2][emoji2][emoji120]
vitu vyenye sura mbaya ni vitamuuu kama naniiMtori una muonekano mbaya asee ๐