Mapishi ya mtori...

Mapishi ya mtori...

Na k wako akiwemo nae fake[emoji23][emoji23]watu wale hata miwa hawajui kumenya mpk wameletewa mashine, kuna sehemu nilienda kulikuwa na mvua nikashangaa kuona watu hawawezi kuvuka maji ya magoti mpaka wabebwe mgongoni[emoji23][emoji23]
Hahaha, umenifanya nikumbuke ukienda soko la mabibo na hii mvua kuna tope si mchezo. Kuna wamama wapo pale getini kukuosha miguu sh. 200.Dsm kila kitu fursa.
 
Kuna ndizi zinaitwa ndizi Uganda hizi ni nzuri zaidi......inategemea na wewe idadi ya watu wako ila hapa mahitaji :ndizi Uganda kichane 1,mafuta ya kupikia vijiko 5vya chakula siyo lazima,nyama Ikg yenye mifupa inayotoa soup....siyo nyama isiyotoa soup utachemka,chumvi kiasi,vitunguu maji 2vikubwa ,nyanya1kubwa........viazi burugwa au vya chips wakishua zaidi wanaita french fries [emoji489] viwili vikubwa.......so menya ndizi zako na uzikata mtindo wa kapicha hapo juu vipande vyembaba ,chemsha nyama hakikisha Ina soup ya kutosha,menya viazi kitunguu na nyanya pia viazi kata mtindo mwembamba.....Osha ndizi zako vizuri tia jikoni na maji kidogo.. tia nyama kama haikulainika sana usiweke soup toa nyama tu...weka kitunguu,nyanya ,mafuta sio lazima, tia viazi, tia chumvi kiasi,funika vichemke maji yakikaukia ongeza mpaka uhakikishe ndizi na viazi vimeiva......Anza kusonga kama unasonga ugali waweza tumia mpekecho....ongeza soup kidogo kidogo mpaka uimalizie yote mtori wako utakuwa tayari Kwa matumizi.....
 
Nice
 
Kilimanjaro wapewe maua yao kwa mtori mzuri asee, nimekaa tarakea kama miezi 6 hivi yule mama MUNGU ambariki sana [emoji2][emoji2][emoji120]
Mtori wa kilimanjaro una pikwa na ndizi maalumu , nyama nyingi na magimbi lazima uwe mtamu.
 
Nawezaje kuchemsha nyama au niweke nini wakati unachemsha nyama ilainike, maana kuna baadhi nyama zina asili ya ugumu kwaiyo yahitaji moto mkali
 
Back
Top Bottom