Mapishi ya Ndizi Utumbo

mambo super jaan...nna utumbo wangu tangu eid nautaftia siku tu...t ena ndizi kidooogo utumbo ndo uwe mwingi na achar ya ndimu ....doh mmmmm
 
DADA farkhina nitapata wapi hii chakula??seems delicious kwakweli
 
Last edited by a moderator:
Pole zako, mie chakula bila pilipili hata kiwe kitamu vipi naona kinakosa kiungo muhimu sana. Nashukuru Mungu hadi leo hii hazijaniletea matatizo ya aina yoyote. Umepotea sana weye!!! Ni aje bhanaaa!?

bak unapenda pilipili wewe, mi now nimekatazwa kula, naimisijeeee....
 
Umeona eeeh.....hii kitu tamu sana
Ndio tabu ya kupita " mtaa huu" unabakia kutoka midenda kama teja! haya ngoja nimforwadie mamie watoto mlezi wa moyo wangu afanye mazuri jkoni leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…