Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kwa maarifa,Waweza pika sambusa, kababu, tambi na nyama ya kusaga e.t.c
ukishindwa kupika vya hapo juu, waweza pia tunza kwenye freezer kwa matumizi ya baadae.
ukishindwa kupika vya hapo juu, waweza pia tunza kwenye freezer kwa matumizi ya baadae.
Asante sana kwa wazo zuri, ingawa nlishaitumia yote tayari. Ushauri kuhusu uhifadhi wa chakula nao muhim. Je kwa asiyekuwa na frezer ahifadhijeukishindwa kupika vya hapo juu, waweza pia tunza kwenye freezer kwa matumizi ya baadae.
Asante angel, kweli macaroni inahusika sana nyama ya kusaga.Macaroni
Kama huna freeze njia nzuri unaichemsha kisha unaihifadhi ila itakubidi kila siku uichemshe mpaka itakapoisha ili isichache.Asante sana kwa wazo zuri, ingawa nlishaitumia yote tayari. Ushauri kuhusu uhifadhi wa chakula nao muhim. Je kwa asiyekuwa na frezer ahifadhije
Asante sana kwa wazo zuri, ingawa nlishaitumia yote tayari. Ushauri kuhusu uhifadhi wa chakula nao muhim. Je kwa asiyekuwa na frezer ahifadhije
Wagawie na jirani zako kiasi itaisha tu!
asante sana kwa ushauriKama huna freeze njia nzuri unaichemsha kisha unaihifadhi ila itakubidi kila siku uichemshe mpaka itakapoisha ili isichache.