mapishi ya nyama ya kusaga

mapishi ya nyama ya kusaga

rasai

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
230
Reaction score
341
Habari wadau, jioni hii nmeletewa nyama ya kusaga yafika kilo na nusu, ukweli hii ni nyingi sana kwa kupikia katless tu za watu watano hapa nyumbani, tusaidiane vitu vyengine ambavyo ntaweza kuitumia hii nyama kuipikia
 
Waweza pika sambusa, kababu, tambi na nyama ya kusaga e.t.c
Asante sana kwa maarifa,
Ila nmezikumbuka meatcake nlikula sku moja harusini pamoja na meatroll, nawezaje kuzipika? Yeyote ajua please msaada
 
ukishindwa kupika vya hapo juu, waweza pia tunza kwenye freezer kwa matumizi ya baadae.
 
Asante sana kwa wazo zuri, ingawa nlishaitumia yote tayari. Ushauri kuhusu uhifadhi wa chakula nao muhim. Je kwa asiyekuwa na frezer ahifadhije
 
Kama huna freeze njia nzuri unaichemsha kisha unaihifadhi ila itakubidi kila siku uichemshe mpaka itakapoisha ili isichache.
 
Wagawie na jirani zako kiasi itaisha tu!
 
Kama huna freeze njia nzuri unaichemsha kisha unaihifadhi ila itakubidi kila siku uichemshe mpaka itakapoisha ili isichache.
asante sana kwa ushauri
 
Back
Top Bottom