Niwanong'oneze gender Male, "siri ni kujipenda, don't give a damn wasema nini" ooh, mbinafsi, ooh anajiskia, ooh ooh...😀😀😀Ugomvi wangu na mama chanja kila siku huniambia, "Wewe tatizo lako unajipenda sana". Hapo ni kama labda sijampigia simu kutwa nzima au nimeenda matembezi ya cardio au nimepakua nyama nono ktk sahani yangu.
Huwa najibu moyoni of course najipenda. Lakini mdomoni na mpiga kabobo mambo yaishe.
Niwanong'oneze gender Male, "siri ni kujipenda, don't give a damn wasema nini" ooh, mbinafsi, ooh anajiskia, ooh ooh...
Tunajua kila kitakachotokea mbeleni na ndio maana wosia hamjui tunachoandika siku ukisomwa mnalia mara ya pili
Wenzio walijaribu hata kupoteza hati za ndoa ila haikusaidiaTunajua kila kitakachotokea mbeleni na ndio maana wosia hamjui tunachoandika siku ukisomwa mnalia mara ya pili
Wababa tumewaachia akina mjukuu sie tuna mambo yetu.Mbona nyie hamkomi kuolewa na wababa, sisi tutakomaje?
Umeongea ukweli mtupu mkuu, yan umepiga kweny mshono.Wanaume wengi tunabidi tubafili vipaumbele vyetu kwenye maisha ya starehe na furaha. Mfano ukiangalia wanaume wengi sana walio kwenye ndoa sehemu kuu ya starehe yao ni bar wakiwa wenyewe ama na marafiki zao huku mke na watoto wakiwa wamelala nyumbani.
Hapo kuna jambo kubwa sana linapotea katika familia ya hivi, hawa watu ni ngumu kuwa na bond, jiulize kwa kipindi cha miaka hii tano ni lini umetoka out ba familia yako mkafurahi?, linganisha na mara ulizotoka kwenda bar kukaa na washkaji. Alafu tafakari.
Wanawake wengi huwa hata asipokuwa anakuuliza jua anahifadhi hayo mambo anajiapiza na kusema ngoja ufilisike au uishiwe hizo pesa au ustaafu ndio utamkoma, na kweli wanaume wengi hali hizo zikiwapata wanajikuta wapo wenyewe wanaanza kulalamika kutengwa na wake na watoto wao.
Maisha ya familia ni zaidi ya kuwalisha na kuwavisha hao mke na watoto wako, hakikisha ni chini ya 30% ya starehe na muda wa furaha unaufanya mwenyewe au na marafiki ila zaidi ya 70% fanya na familia yako, hautajuta.
Wengi watasema bar ndipo tunapopata ramani za michongo, ila ukikaa na kutafakari vizuri hii sio kweli kwa wengi. Tujitafakari sana wakuu.
Mwisho, wanaume wengi wanaoteseka ndani ya ndoa zao ni wao wamejitakia kwa kiasi kikubwa ama kwa kuoa kwa mihemko, ama kupuuza familia zao ama kwa kuwa wabinafsi ama kwa usaliti kwa kigezo cha urijali na vitu kama hivyo.
Tubadilike wakuu, hatuwezi ishi dunia ya leo kwa mifumo waliyoishi wazee wetu wa 1960s.
Tunakosa la kusema kwa sababu wengine tunahudumiwa na kujaliwa vyema na waume zetu ndani lakini tumekosa shukrani,na wengine hatujaliwi kabisa na wanaume na bado hao waume wamekosa shukrani.Marriage is scam thing!😀😀😀asante sana rafiki.. Wengine wanapita kimya
Tatizo jingine kubwa la jamii inaamini pesa ndio inaleta furaha kitu amabcho sio kweli. Maana wenye pesa wengi tu bado wanaitafuta furaha.Chanzo kikuu cha matatizo yote ya binadamu, shida , dhiki, migogiro na yote yasio leta furaha ni ubinafsi wake na kujipendelea.
Mwanadamu yeye anataka apate hiki na kile kutoka kwa binadamu mwingine pasina kuangalia yeye anatoa nini kwa huyo mwenzake maana nae anahitaji kama lake.
Ujumla wa maisha ya mwanandamu na pengine kila kiumbe chenye nafsi na utashi ni furaha, kila unae muona anatafuta furaha.
Sasa maisha yako yanaweza kuwa magumu sana kwa sababu ya mategemeo ya kupata furaha kwa ambaye nae anatafuta furaha huku akiwa na udhaifu wa kibinadamu wa ubinfsi.
Ni katika hali hio mimi binafsi ninapokaribia mwaka wa kumi wa ndoa ukiachana na zile changamoto za maisha ya binadamu katika utafutaji sijawahi kuhisi kuteseka au kupata usumbufu wa ndoa .
Hii ni kwa vile mimi nikiwa na haja fulani sitahitaji kumsumbua mke anifanyie Bali nafanya mwenyewe, njaa ikiuma chakula hamna napika, nguo chafu nafua mwenyewe, maji hamna naenda kuteka, nyumba chafu nasafisha, vyombo vichafu naosha, kiu inauma nafata mwenyewe, mtoto hajaoga naogesha, mke hajisikii sina napotezea nk nk.
narudia tena , huwezi kupata furaha nje ya wewe kamwe.
50/50 hata mimi hapana pia tukiangalia mfumo wa uoaji kweli ulikuwa ni mzuri hadi leo ila sasa ishu ya kuiepuka au kuitafakari ni namna ya kuishi na familia zetu.Umeongea ukweli mtupu mkuu, yan umepiga kweny mshono.
Ila mimi nakupinga kweny hiyo sentensi ya mwisho aisee, mifumo ya babu zetu ndio ilikua sahihi kuliko huu mfumo wetu wa kipumbavu wa uoaji + mfumo wa 50/50 hovyo kabisa yan
Bro kwa afya ya akili nyuzi zingine sio za kufungua kusoma😂😂Boss mimi ilitakiwa nipeleke "mahali" mwezi ulio pita niliwapa taarifa ukweni j4 kwamba j2 nakuja kutoa walicho hitaji
Jibu lao subiri tujiandae hadi week ijayo yaani j2 inayofuata
Nilijikuta nafsi inapata amani ghafla najiskia uhuru
Sijaenda tena na sijui nitakwenda lini
KabisaTatizo jingine kubwa la jamii inaamini pesa ndio inaleta furaha kitu amabcho sio kweli. Maana wenye pesa wengi tu bado wanaitafuta furaha.
Inabidi kama jamii tutafute tafsiri sahihi ya furaha na tuwekeze uko badala ya pesa/mali ambazo zimekuwa chanzo cha matatizo kuliko suluhisho.
Usihofu...Na mwezi wa 12 naoa kwa mada hizi kuna dalili za kutandika daruga.
Kwa hiyo umeingia mitini?Boss mimi ilitakiwa nipeleke "mahali" mwezi ulio pita niliwapa taarifa ukweni j4 kwamba j2 nakuja kutoa walicho hitaji
Jibu lao subiri tujiandae hadi week ijayo yaani j2 inayofuata
Nilijikuta nafsi inapata amani ghafla najiskia uhuru
Sijaenda tena na sijui nitakwenda lini
Fact fact fact50/50 hata mimi hapana pia tukiangalia mfumo wa uoaji kweli ulikuwa ni mzuri hadi leo ila sasa ishu ya kuiepuka au kuitafakari ni namna ya kuishi na familia zetu.
Zamani baba alikuwa sio mtu wakumfikia kiurahisi, zamani baba alikuwa anakula vizuri kuliko watu wote ndani ya familia na zamani baba alikuwa lazima achelewe sana kurudi nyumbani. Ni hii mitindo ya maisha ndio naona ni vema kuachana nayo.
Dunia yetu imejaa taarifa na zinapatikana kwa haraka sana tofauti na dunia ya enzi za wazee wetu.
Ila mwanaume hadi kesho ni lazima uwe mtu unayeweza kutegemewa na familia sio hata kubadili taa ndani hawezi au hata kufungua tairi ya gari hawezi hadi aite fundi. Au kurekebisha baiskeli ya mtoto pancha au chain hawezi hadi aje fundi. Wanawake huwa wana notice hivyo vitu vidogo vidogo ndio maana mwisho wa siku unakuta mke wa boss analiwa na fundi anayerekebishaga baiskeli ya mtoto.
Kifupi mwanaume anapaswa kuwa na ujuzi au utundu wa vitu vingi vidogo vidogo na ashiriki kufanya kazi za mikono na familia yake au hata mtoto wake ili kujenga bond na kuhamisha maarifa (na ndio kazi kubwa nyingine ya mwanaume kutengeneza kizazi kijacho)
Hii umekaa vizuri Sana....Mimi nimekuwa na swali moja pia kwamba hao wanawake wazuri wanaweza kuleta mbingu nyumbani wamelelewaje??? Je! Mwanaume ana mchango gani Kwa binti yake kwenda kuwa mke mzuri kule atakapoenda kuolewa?? Au jukumu la kumshape binti kimtazamo,,kihisia na kijamii ni la mama peke yake??Hapo kuna jambo kubwa sana linapotea katika familia ya hivi, hawa watu ni ngumu kuwa na bond, jiulize kwa kipindi cha miaka hii tano ni lini umetoka out ba familia yako mkafurahi?, linganisha na mara ulizotoka kwenda bar kukaa na washkaji. Alafu tafakari.
Wanawake wengi huwa hata asipokuwa anakuuliza jua anahifadhi hayo mambo anajiapiza na kusema ngoja ufilisike au uishiwe hizo pesa au ustaafu ndio utamkoma, na kweli wanaume wengi hali hizo zikiwapata wanajikuta wapo wenyewe wanaanza kulalamika kutengwa na wake na watoto wao.
Maisha ya familia ni zaidi ya kuwalisha na kuwavisha hao mke na watoto wako, hakikisha ni chini ya 30% ya starehe na muda wa furaha unaufanya mwenyewe au na marafiki ila zaidi ya 70% fanya na familia yako, hautajuta.
Baba yako ndiye mwenye makosa mimi watoto wangu watakao niletea usengerema itakula kwao.Sana sana sana!
Nilimtunza mpaka mwisho wake, dada zangu watatu waliishia mitini, yeye kila kukicha walikuwa kwenye ulimi wake! Hawakutoa hata senti tano ya kumuangalia!
Ila kwenye MIRATHI ILIKUWA PASU KWA PASU! Wanaume kweli tumezaliwa kupata shida.
View: https://youtube.com/playlist?list=PLOn1weZvzg1_NqGZZ-fm75P9M-J7wHuDF&si=ljfpbbfvgqmbp67L