fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Ndoa sio mbaya,ni nzuri mno,tatizo ni binadamu ambao ndio huingia kwenye ndoaPreamble: For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu. Msanii
Nimeipenda sana hiyo nukuu ya Msanii kwenye uzi wake kuhusu ndoa yake... Imetoa majumuisho muhimu sana katika uhalisia wake! Very short and very clear
Sasa huko ndoani kuna haya magumu/ mapito mengine nawili kwa wanaume
1. Ukipitia changamoto cha kipato ajira na kazi.. Mwenza wako anaweza kukuvumilia na kukutia moyo lakini kaa ukijua haitazidi miezi mitatu
Mwanzoni mambo yataanza kwa kificho lakini taratibu yataanza kujiinua na kujiweka wazi zaidi
Zitaanza dharau ndogondogo
Vitafuatia vijembe katikati ya utani
Yatafuatia masimango ya kificho na hatimaye ya wazi
Kisha sasa yatakuja matusi na kashfa za wazi..
Kusemwa bila kosa.. Kuvunjiwa heshima, kunyimwa unyumba, kuitwa najina mabaya nknk..!
2. Ukizeeka hali mwenza wako bado ana nguvu
Umetumia nguvu zako maishani kumhudumia na kuihudumia.. familia ukafanya kila la kumfurahisha na kumliwaza kwa uwezo wako! Sasa umezeeka.. Huna nguvu tena za kuhudumu chumbani wala sebuleni.. Mwenza uliyempenda sana na kumpa kila kitu anakuona sasa wewe ni mzigo usiye na faida tena kwake!
Anaweza kukufanyia mambo ambayo hata shetani mwenyewe akiyaona anakimbia... Wengi wamekufa mapema kutokana na hii changamoto ya pili.
Kuchapiwa
Kusimangwa
Kunyimwa vyakula vyote
Kukashfiwa
Kutohudumiwa nknk .. Ni baadhi tu ya mambo yanayoweza kukutokea uzeeni
Naomba nikatishe mada yangu na kurudia nukuu ya Msanii
For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu.
Washua walikuwa ni noma sana aiseeFact fact fact
Mkuu unatema madini sana aisee, kuna namna umemuelezea baba wa kizaman hapo juu dah imenibidi nicheke kwanza, washua walikua na umwinyi sana
Huwezi kumbadilisha mtu mzima mwenye akili timamu malezi uliyompa utotoni hawaya guarantee ya kumfanya kuja kuwa mke mzuri kuna kipindi atakuwa huru atafanya mambo anayotaka yeye bila wewe kujua na hata ukijua huna cha kumfanya!Hii umekaa vizuri Sana....Mimi nimekuwa na swali moja pia kwamba hao wanawake wazuri wanaweza kuleta mbingu nyumbani wamelelewaje??? Je! Mwanaume ana mchango gani Kwa binti yake kwenda kuwa mke mzuri kule atakapoenda kuolewa?? Au jukumu la kumshape binti kimtazamo,,kihisia na kijamii ni la mama peke yake??
Nakubali kwamba kukiwa na bond katika familia kuna namna pressure inapungua Kwa mwanaume na ule mzigo WA familia unakuwa haumwelemei mtu mmoja.Na future ya waliotoka kwenye Hii familia unakuwa ni tofauti na waliotoka familia ya visasi,,dharau,,kutoheshimiana na infidelity.
Lakini cha ajabu mifumo hiyo imewekwa na wanaumeMifumo mingi ya dunia ipo Against na mwanaume.. yaani sisi tunafight wenyewe kama wenyewe
Baba ana nafasi kubwa sana kumuandaa binti yake kuja kuwa mke bora. Wanawake wengi wanamuangalia mume bora kwa kulinganisha baba zao.Hii umekaa vizuri Sana....Mimi nimekuwa na swali moja pia kwamba hao wanawake wazuri wanaweza kuleta mbingu nyumbani wamelelewaje??? Je! Mwanaume ana mchango gani Kwa binti yake kwenda kuwa mke mzuri kule atakapoenda kuolewa?? Au jukumu la kumshape binti kimtazamo,,kihisia na kijamii ni la mama peke yake??
Nakubali kwamba kukiwa na bond katika familia kuna namna pressure inapungua Kwa mwanaume na ule mzigo WA familia unakuwa haumwelemei mtu mmoja.Na future ya waliotoka kwenye Hii familia unakuwa ni tofauti na waliotoka familia ya visasi,,dharau,,kutoheshimiana na infidelity.
Kuna wengi sio wanywaji na wako kwenye stress hzohzo unasemajeWanaume wengi tunabidi tubadili vipaumbele vyetu kwenye maisha ya starehe na furaha. Mfano ukiangalia wanaume wengi sana walio kwenye ndoa sehemu kuu ya starehe yao ni bar wakiwa wenyewe ama na marafiki zao huku mke na watoto wakiwa wamelala nyumbani.
Hapo kuna jambo kubwa sana linapotea katika familia ya hivi, hawa watu ni ngumu kuwa na bond, jiulize kwa kipindi cha miaka hii tano ni lini umetoka out ba familia yako mkafurahi?, linganisha na mara ulizotoka kwenda bar kukaa na washkaji. Alafu tafakari.
Wanawake wengi huwa hata asipokuwa anakuuliza jua anahifadhi hayo mambo anajiapiza na kusema ngoja ufilisike au uishiwe hizo pesa au ustaafu ndio utamkoma, na kweli wanaume wengi hali hizo zikiwapata wanajikuta wapo wenyewe wanaanza kulalamika kutengwa na wake na watoto wao.
Maisha ya familia ni zaidi ya kuwalisha na kuwavisha hao mke na watoto wako, hakikisha ni chini ya 30% ya starehe na muda wa furaha unaufanya mwenyewe au na marafiki ila zaidi ya 70% fanya na familia yako, hautajuta.
Wengi watasema bar ndipo tunapopata ramani za michongo, ila ukikaa na kutafakari vizuri hii sio kweli kwa wengi. Tujitafakari sana wakuu.
Mwisho, wanaume wengi wanaoteseka ndani ya ndoa zao ni wao wamejitakia kwa kiasi kikubwa ama kwa kuoa kwa mihemko, ama kupuuza familia zao ama kwa kuwa wabinafsi ama kwa usaliti kwa kigezo cha urijali na vitu kama hivyo.
Tubadilike wakuu, hatuwezi ishi dunia ya leo kwa mifumo waliyoishi wazee wetu wa 1960s.
Utaambiwa huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni🤣🤣🤣🤣 vero kokote ulipo baya lolote likukute.Preamble: For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu. Msanii
Nimeipenda sana hiyo nukuu ya Msanii kwenye uzi wake kuhusu ndoa yake... Imetoa majumuisho muhimu sana katika uhalisia wake! Very short and very clear
Sasa huko ndoani kuna haya magumu/ mapito mengine nawili kwa wanaume
1. Ukipitia changamoto cha kipato ajira na kazi.. Mwenza wako anaweza kukuvumilia na kukutia moyo lakini kaa ukijua haitazidi miezi mitatu
Mwanzoni mambo yataanza kwa kificho lakini taratibu yataanza kujiinua na kujiweka wazi zaidi
Zitaanza dharau ndogondogo
Vitafuatia vijembe katikati ya utani
Yatafuatia masimango ya kificho na hatimaye ya wazi
Kisha sasa yatakuja matusi na kashfa za wazi..
Kusemwa bila kosa.. Kuvunjiwa heshima, kunyimwa unyumba, kuitwa najina mabaya nknk..!
2. Ukizeeka hali mwenza wako bado ana nguvu
Umetumia nguvu zako maishani kumhudumia na kuihudumia.. familia ukafanya kila la kumfurahisha na kumliwaza kwa uwezo wako! Sasa umezeeka.. Huna nguvu tena za kuhudumu chumbani wala sebuleni.. Mwenza uliyempenda sana na kumpa kila kitu anakuona sasa wewe ni mzigo usiye na faida tena kwake!
Anaweza kukufanyia mambo ambayo hata shetani mwenyewe akiyaona anakimbia... Wengi wamekufa mapema kutokana na hii changamoto ya pili.
Kuchapiwa
Kusimangwa
Kunyimwa vyakula vyote
Kukashfiwa
Kutohudumiwa nknk .. Ni baadhi tu ya mambo yanayoweza kukutokea uzeeni
Naomba nikatishe mada yangu na kurudia nukuu ya Msanii
For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu.
Aise kweli tutumie akili nyingi kuishi na wanawake.Mnawaelezea wanaume kama aina fulani au toleo la watakatifu vile, unataka upendo furaha na amani kutoka kwa mke, je wewe ulitoa hivyo vitu kwake? Ulipokuwa na pesa ulimuonyesha waziwazi kuwa upo nae kibahati mbaya, ulipokuwa na nguvu ulikesha kwa michepuko, ulipigiwa simu hata usiku wa manane ukamuacha na upweke wake, ukiulizwa ulisema wewe ni 'mwanaume', na fimbo juu ulimpiga,,,.....leo sasa umefilisika au umezeeka unataka akuonyeshe upendo na bla bla nyingine nzuri hiyo ni ndoto
Tumieni akili kuishi na wanawake,
Hiyo pesa itakuwasha washa utafute mtu msaidizi wa maisha yako hapo ndio utajiona taka takaSahihi mkuu... Imagine una mil 50 UTT AMIS, hapo stress utajitakia mwenyewe
Atakuwa huru Kwa sababu nimekuwa sina bond nae na simfatilii,,Yuko na marafiki toxic namuacha,,sijali anaenda wapi na anarudi saa ngapi,, Sijali yeye kupigiwa simu usiku,,hàpo ndio atakuwa huru na kwenda anavyotaka yeye,,,ila Mimi huwa nazima Moto panapofuka moshi...asipokubali kubadilika ninapoona dalili basi sitoenda mbali kwenye safari...Lakini bado naamini Mtoto WA kike anaweza kustahimili kama Hakuna infidelity katika ndoa akiwa ana background ya malezi mazuri ya wazazi wote.Huwezi kumbadilisha mtu mzima mwenye akili timamu malezi uliyompa utotoni hawaya guarantee ya kumfanya kuja kuwa mke mzuri kuna kipindi atakuwa huru atafanya mambo anayotaka yeye bila wewe kujua na hata ukijua huna cha kumfanya!
Nimeandika nimefuta nimeandika nikafuta ila kiukweli Hii ndiyo maana halisi ya kuitwa platinum member we kichwa sana mkuuPreamble: For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu. Msanii
Nimeipenda sana hiyo nukuu ya Msanii kwenye uzi wake kuhusu ndoa yake... Imetoa majumuisho muhimu sana katika uhalisia wake! Very short and very clear
Sasa huko ndoani kuna haya magumu/ mapito mengine nawili kwa wanaume
1. Ukipitia changamoto cha kipato ajira na kazi.. Mwenza wako anaweza kukuvumilia na kukutia moyo lakini kaa ukijua haitazidi miezi mitatu
Mwanzoni mambo yataanza kwa kificho lakini taratibu yataanza kujiinua na kujiweka wazi zaidi
Zitaanza dharau ndogondogo
Vitafuatia vijembe katikati ya utani
Yatafuatia masimango ya kificho na hatimaye ya wazi
Kisha sasa yatakuja matusi na kashfa za wazi..
Kusemwa bila kosa.. Kuvunjiwa heshima, kunyimwa unyumba, kuitwa najina mabaya nknk..!
2. Ukizeeka hali mwenza wako bado ana nguvu
Umetumia nguvu zako maishani kumhudumia na kuihudumia.. familia ukafanya kila la kumfurahisha na kumliwaza kwa uwezo wako! Sasa umezeeka.. Huna nguvu tena za kuhudumu chumbani wala sebuleni.. Mwenza uliyempenda sana na kumpa kila kitu anakuona sasa wewe ni mzigo usiye na faida tena kwake!
Anaweza kukufanyia mambo ambayo hata shetani mwenyewe akiyaona anakimbia... Wengi wamekufa mapema kutokana na hii changamoto ya pili.
Kuchapiwa
Kusimangwa
Kunyimwa vyakula vyote
Kukashfiwa
Kutohudumiwa nknk .. Ni baadhi tu ya mambo yanayoweza kukutokea uzeeni
Naomba nikatishe mada yangu na kurudia nukuu ya Msanii
For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu.
Shida sisi waafrica kuishi ndoani kama wapinzani, ccm na chadema....mara tutekane mara tupeane kesi, ni hakuna kutulia hadi tufe😂😂😂Jitafakarini wapi mnakosea maana mwanamke ni kiumbe ambacho mnaweza kukicontrol vizuri Tu na kikawa vile unavyotaka wewe!
Sa cjui mnafeli wapi...poleni Sana aisee
Sawa mwenzangu unaishi na mtoto wako wa kike anayesoma chuo ili kutengeneza bond,uendelee kumfuatilia na kumchagulia marafiki!Atakuwa huru Kwa sababu nimekuwa sina bond nae na simfatilii,,Yuko na marafiki toxic namuacha,,sijali anaenda wapi na anarudi saa ngapi,, Sijali yeye kupigiwa simu usiku,,hàpo ndio atakuwa huru na kwenda anavyotaka yeye,,,ila Mimi huwa nazima Moto panapofuka moshi...asipokubali kubadilika ninapoona dalili basi sitoenda mbali kwenye safari...Lakini bado naamini Mtoto WA kike anaweza kustahimili kama Hakuna infidelity katika ndoa akiwa ana background ya malezi mazuri ya wazazi wote.
unywaji ilikuwa ni mfano, ila pia bado kuna ubinafsi mahali na ndipo tunapouponzea. Wanaume wengi wanapuuza sana hisia za familia zao, wakitetereka baadhi wanagundua makosa yao wengine hawagundui wanabaki kulalamika.Kuna wengi sio wanywaji na wako kwenye stress hzohzo unasemaje