Mapito mawili magumu kwa wanaume ndani ya ndoa

πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kaka bora usome tu mimi kuna vioja hatari kwanza kaniambia hampendi sister wangu na anamchukia
Dah...Kaka huyo wako hatosubiri ufike uzeeni ili atoe uhai wako, atakuwinda humo kwenye 40-43πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama ameanza kasheshe sahv siku unayoenda kumalizia mahali jitahidi uanze kupatana na Mungu mapema ili kikihappen uwe na makao mema✍️
 
Mbona wanaume na nyie mnanyanyasa wake zenu, mkiwa na pesa mnaongeza wanawake wengine..!!
Vipi hili mbona hamlisemehi au maumivu mmeumbiwa peke yenu??
Nyie huwa mnalia weee halafu mkifuta machoz tu mnaanza mikakati ya kututoa uhaiπŸ˜‚

Hapa mada kuu n hii tabia ya kututoa uhai
 
Nyie huwa mnalia weee halafu mkifuta machoz tu mnaanza mikakati ya kututoa uhaiπŸ˜‚

Hapa mada kuu n hii tabia ya kututoa uhai
Kumbe ushajua chanzo cha kutolewa uhai 😹😹😹
Ndo mbadilike sasa..!!
 
. Ukipitia changamoto cha kipato ajira na kazi.. Mwenza wako anaweza kukuvumilia na kukutia moyo lakini kaa ukijua haitazidi miezi mitatu
Hiyo ni mingi sana.
Huna nguvu tena za kuhudumu chumbani wala sebuleni.. Mwenza uliyempenda sana na kumpa kila kitu anakuona sasa wewe ni mzigo usiye na faida tena kwake!
Ilimkuta marehemu baba yangu mbele ya macho yangu, imenifanya niwaangalie mama zetu kwa jicho lingine,tena baya!

wapo kwa maslahi yao!
Kusemwa bila kosa.. Kuvunjiwa heshima, kunyimwa unyumba, kuitwa najina mabaya nknk..!
Hapa usipokuwa makini, kisukari,presha,msongo wa mawazo n.k vitakuandama!

Nb: Mwanaume unapotafuta usisahau kuishi coz hao watoto plus mke ni waasi watarajiwa! Timiza wajibu ila usisubiri na kulazimisha shukurani!
 
Kaka Mungu ni mwema naona ananiepusha na mengi ngoja tuone maisha yatakavyokua ila sasa Sina mpango wa kuendelea na hatua yotote bora nikae nitulie
 
Mpishano mzuri ni wa miaka mingapi?
 
Jitafakarini wapi mnakosea maana mwanamke ni kiumbe ambacho mnaweza kukicontrol vizuri Tu na kikawa vile unavyotaka wewe!
Sa cjui mnafeli wapi...poleni Sana aisee
Kabisa hata makofi wanashindwa kupiga.
 
Brother Mshana Jr asante kwa tafakuri. Japo Sisi tunaokataa NDOA huwa mnatuona kama tuna matatizo lakini ukweli ni kwamba wengine tulikaa chini na kufanya upembuzi yakinifu kuhusu NDOA tukaona hakika hatuwezi abadani
Ila nikwambie kitu brother! NDOA HAIEPUKIKI..Utaikimbia wee lakini mwisho utanasa kwenye ulimbo wake
 
Hoja ya hovyo kabisa hii!!!
 
Mkuu umenielimisha vyema sana kupitia nukuu yangu.

Naamini katika kila mstari ulioandika
 
At least ukiwa umri bado unaruhusu issue ya kuyumba kiuchumi inaweza isikuumize sana kwasababu bado unaweza kua na muda na nafasi ya kufanya marekebisho kwa kupambana tena ama hata kutafuta mwenza mwingine. Iyo nyingine ya kuzeeka ndo mbaya sana kwasababu hutokua na option nyingine ya kufanya. Then unasumbuliwa na magonjwa ya uzeeni, watu wanaomba ufe tu uwapunguzie shida na uwape nafasi ya kuenjoy pesa na mali zako mwenyewe. Inaumiza sana lakini ndo uhalisia ulivyo. As a man tuombe mwisho mzuri, tuombe mke na watoto waendelee kutupenda na kutujali kama sasa. Je wanatupenda na kutuhitaji sana sasa kwakua maisha yao kwa sasa yanakutegemea sisi? Jibu ni ndio. Lakini kuendelea kutupenda na kutujali hadi pale mwisho wetu utakapofika ni jambo la kusubiri na kuona ili kuthibitisha hiki kinachotuunganisha na kutuleta pamoja leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…