Tetesi: Mapokezi makubwa yamsubiri January Makamba jimboni mwake Bumbuli

Acha uongo. January yupo Bumbuli. Angalia location kwenye post hii yake ya leo.

Shame on you!
 
Mleta mada sijui kama ni mkweli ... Bumbuli ipi? Mbona watu wanalalamika kuwa haonekani jimboni? mbona watu wanalalamikia barabara? kiwanda cha chai mponde? mmmhh ngoja nnyamaze mie ...
 
Mimi najua anaishi na wapiga kura wake/watu anaowawakilisha, mapokezi ya wapi tena jamani?
 
Mikusanyiko isiyo halalai hairushusiwi policcm fanyeni kazi ipasavyo hapa.
 
Inatakiwa a keep low profile for his own good na hasa kama anatamani kurudi katika vitabu vizuri vya JPM !
Low profile amekeep Madelu kapata nini mpaka sasa zaidi ya stress tu
 
Tena wapelekwe vijana wa JKT. Gonga sana hawa watakaoandamana. Maana hawana kazi hawa. Kumpokea kwa kipi? Hii nchi bwana
 
Atazuiwa
 
Uwongo hakuna wa kumpokea kwani hata ubunge wenyewe haukuwa halali,hajapigiwa kura na watu wa Bumbuli na isitoshe hata nyumba hana. Wanaomuunga mkono ni wahuni wachache aliogawana nao hayo mabilioni ya NSSF.
 
Maandamano na mikutano ya kisiasa imepigwa marufuku!
pumbav wewe kwa sheria gani? wewe huna tofauti na wajinga wenzio wanaosema raisi hata mwenye matatizo ya akili akisema ni sheria! kama akisemacho ni sheria bila kuangalia afya ya akili yake hizi sheria ni za nn sasa?
 
Uwongo hakuna wa kumpokea kwani hata ubunge wenyewe haukuwa halali,hajapigiwa kura na watu wa Bumbuli na isitoshe hata nyumba hana. Wanaomuunga mkono ni wahuni wachache aliogawana nao hayo mabilioni ya NSSF.
astaghafir yamekua haya leo?
 
Uwongo hakuna wa kumpokea kwani hata ubunge wenyewe haukuwa halali,hajapigiwa kura na watu wa Bumbuli na isitoshe hata nyumba hana. Wanaomuunga mkono ni wahuni wachache aliogawana nao hayo mabilioni ya NSSF.
kwani magufuli alichaguliwa kihalali? yule wa zanzibar alivhaguliwa kihalli? nyumba ni sifa ya mtu kuwa mbunge? wabunge wangapi hawakai kwenye majimbo yao?
 
lazima figisu zitakuwepo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…