Mapokezi ni Babkubwa Rais Samia Visiwa vya Karafuu Pemba Januari 7, 2022

Mapokezi ni Babkubwa Rais Samia Visiwa vya Karafuu Pemba Januari 7, 2022

5525

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
5,412
Reaction score
6,279
Mapokezi ni babkubwa Mama yetu Mkuu wa Nchi na Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania nzima Mama Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Rasmi atatua Visiwa vya Karafuu kule Pemba kwa ajili kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Karibu Mama Jemedari Mkuu, Umethubutu, Unaweza, Umeweza hakuna kama Mama, Tunakupenda sana

271505282_612490293363963_7077392558336616980_n.jpg
 
Ewaaah.! Nilitarajia hili baada ya kutema nyongo angekuja Makunduchi kunywa kahawa kisha kutoa mkeka wa mawaziri akiwa yuko nyumbani, naona ataanzia Pemba baadaye Makunduchi.
 
Toka uhuru rais wa Jamuhuri anatoka uchogoni sasa ni zamu ya kule visiwa vya karafuu na wao wapate miaka yao 60, mtakuwa mnaleta jina la makamu wa rais kutoka tanganyika., mlitaka wenyewe muungano
Nani atawapigia kura kushinda
 
Back
Top Bottom