Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Over your dead bodyKuna haja ya kuanzisha vuguvugu la kukataa kutawaliwa na hawa Wazanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Over your dead bodyKuna haja ya kuanzisha vuguvugu la kukataa kutawaliwa na hawa Wazanzibar
Ndio ukweli wenyewe. Otherwise tuambie kwanini kuna TRA Zanzibar. Muungano wetu mzuri sana tuulinde.Mhhh ngumu kumesa
Mkibananishwa ndio inakuwa hivyo ? Hizi ni kero tu za kawaida !!!Kuna haja ya kuvunja huu muungano fake
Kwani magu alipigiwa kura 2020?Nani atawapigia kura kushinda
Aendelee kutumbua pesa zetu na wapemba wenzake?Mkibananishwa ndio inakuwa hivyo ? Hizi ni kero tu za kawaida !!!
Awapi hakuna kitu kama hicho mbona hakuna EFD machine Zanzibar? ni uongo tupuNdio ukweli wenyewe. Otherwise tuambie kwanini kuna TRA Zanzibar. Muungano wetu mzuri sana tuulinde.
😆😆EFD machine ni kwa wasiokuwa tayari kulipa kwa hiari tu. Zanzibar wachamungu wale wanalipa kodi kwa hiari tu bwashehe.Awapi hakuna kitu kama hicho mbona hakuna EFD machine Zanzibar? ni uongo tupu
Kwa hiyo hiyo ni sherehe ya CCM? Mapinduzi siyo tena sherehe ya serikali!Mapokezi ni babkubwa Mama yetu Mkuu wa Nchi na Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania nzima Mama Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Rasmi atatua Visiwa vya Karafuu kule Pemba kwa ajili kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Karibu Mama Jemedari Mkuu, Umethubutu, Unaweza, Umeweza hakuna kama Mama, Tunakupenda sana
View attachment 2070629
Tetetetetee😆😆EFD machine ni kwa wasiokuwa tayari kulipa kwa hiari tu. Zanzibar wachamungu wale wanalipa kodi kwa hiari tu bwashehe.
Acha hii kauli. Siyo nzuri na haipendezi.Arudi kwao
Kitendawili kishateguliwa hukoTetetetetee
Na mikopo anayochukua kila kukichaKodi zako