Hatufiki hata hukoUle utaratibu wa raisi anatoka bara alafu Makamu Zanzibar, mwambieni 2025 tunaurudisha.
Kodi zakoHizo gharama nani analipa?
Arudi kwaoKodi zako
Keki tamu wewe!Arudi kwao
Urudisheni kwenu BurundiUle utaratibu wa raisi anatoka bara alafu Makamu Zanzibar, mwambieni 2025 tunaurudisha.
Inalipa TanganyikaHizo gharama nani analipa?
Toka uhuru rais wa Jamuhuri anatoka uchogoni sasa ni zamu ya kule visiwa vya karafuu na wao wapate miaka yao 60, mtakuwa mnaleta jina la makamu wa rais kutoka tanganyika., mlitaka wenyewe muunganoUle utaratibu wa raisi anatoka bara alafu Makamu Zanzibar, mwambieni 2025 tunaurudisha.
TRA si kila siku wanajisifu wanakusanya nyingi huko tanganyikaniHizo gharama nani analipa?
kwanini asilipiwe na ZRA sijui?TRA si kila siku wanajisifu wanakusanya nyingi huko tanganyikani
Kuna haja ya kuvunja huu muungano fakeInalipa Tanganyika
Zanzibar pia TRA wana ofisi zao kule wanakusanya kodi kwaajili ya shughuli za tanganyikakwanini asilipiwe na ZRA sijui?
Kuna haja ya kuanzisha vuguvugu la kukataa kutawaliwa na hawa WazanzibarKuna haja ya kuvunja huu muungano fake
Nani atawapigia kura kushindaToka uhuru rais wa Jamuhuri anatoka uchogoni sasa ni zamu ya kule visiwa vya karafuu na wao wapate miaka yao 60, mtakuwa mnaleta jina la makamu wa rais kutoka tanganyika., mlitaka wenyewe muungano
Mhhh ngumu kumesaZanzibar pia TRA wana ofisi zao kule wanakusanya kodi kwaajili ya shughuli za tanganyika
Naunga mkono hoja huu ni utumwa kwenye nchi yetuKuna haja ya kuanzisha vuguvugu la kukataa kutawaliwa na hawa Wazanzibar