Ukiacha Gwajima kuchafua hali ya hewa kuhusiana na chanjo ya Corona lakini tayari watanzania walishaaminishwa na Rais wa awamu ya tano, Hayati Magufuli kuwa chanjo ya Corona sio salama kabisa na hivi huku hayati akisema kuwa chanjo ya Korona inayopigiwa debe na mabeberu kama alivyokuwa anasema hayati JPM inalengo la kumaliza vizazi vya afrika.
Sasa kila mahali ukipita si taasisi za dini, watumishi wa umma na wananchi kwa ujumla wanapinga sana juu ya kupata chanjo ya korona, ukifanya utafiti mdogo tu utagundua kuwa asilimia kubwa ya watu ambao hawataki kabisa kusikia kuhusiana na chanjo ni watoto na raia ambao hawana exposure tofauti na ile walioaminishwa na mwendazake JPM.
Rais Samia hata kama ukichanja mbele ya vyombo vya habari tarehe hiyo 28/7/2021 kwa lengo la kuonesha umuhimu wa chanjo ya korona lakini bado mentality ya wananchi wako ipo negative sana.