Highest level of stupidity....Yaa kweli hii ni alama ya mpinga kristo, chanjo sio salama kabisa
Ufunuo wa Yohana 13:16
Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao...
Ndo maana Matapeli kama Askofu Rasheed huwa anawageuza watu aina yenu kuwa Chuma Ulete
Na Magu akawageuza watu aina yenu kuwa Misukule ya Kisiasa...