Kweli vyuma avijakazaWahenga wanasema ukiona unapendwa ringa.... Diamond platnumz na crew yake nzima ya Wasafi wana show desemba hii huko kenya.... Mapokezi yake yamekuwa ni balaa... naamini basata wakiona hivi wataumia sana maana mtu wanayejaribu kushindana naye ashawashindaga zamani....View attachment 977169View attachment 977170View attachment 977171
Kweli JF, wengi ni walevi....
Nimemis hii senene[emoji12]
Hawa wadudu ni watamu balaa
Akikujibu niambieWrite your reply...tuonyeshe na picha za Embu jana maana hazijarushwa
Ila aliomba samahani, sasa sijui kashinda nini?Wahenga wanasema ukiona unapendwa ringa.... Diamond platnumz na crew yake nzima ya Wasafi wana show desemba hii huko kenya.... Mapokezi yake yamekuwa ni balaa... naamini basata wakiona hivi wataumia sana maana mtu wanayejaribu kushindana naye ashawashindaga zamani....View attachment 977169View attachment 977170View attachment 977171