Mapokezi ya Diamond Platnumz Mombasa ni kufuru

Mapokezi ya Diamond Platnumz Mombasa ni kufuru

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Wahenga wanasema ukiona unapendwa ringa.... Diamond platnumz na crew yake nzima ya Wasafi wana show desemba hii huko kenya.... Mapokezi yake yamekuwa ni balaa... naamini basata wakiona hivi wataumia sana maana mtu wanayejaribu kushindana naye ashawashindaga zamani....
20181225_190231.png
20181225_190116.png
20181225_190059.png
 
Write your reply...tuonyeshe na picha za Embu jana maana hazijarushwa
 
Ngoja tuone meno ya basata. Inawezekana wakawa vibogoyo....

Gooo gooooo goooooh Mondi gooooooh!
 
Huko mombasa si ndiyo alipotoka Mke wa Ali kiba?
 
Back
Top Bottom