Dong Jin
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 968
- 2,034
Wahenga wanasema ukiona unapendwa ringa.... Diamond platnumz na crew yake nzima ya Wasafi wana show desemba hii huko kenya.... Mapokezi yake yamekuwa ni balaa... naamini basata wakiona hivi wataumia sana maana mtu wanayejaribu kushindana naye ashawashindaga zamani....