Mapokezi ya Freeman Mbowe yatikisa Musoma Mjini

Ukiangalia haraka haraka utafikir ni mapokezi ya mwenyekiti wa CHAUMMA ndugu Hashim Rungwe Spunda.

CDM wanaamini Mbowe pekee ndio mwenye akili timamu ndan ya Chama Chao ndio maana hawathubutu kufikiria nje ya box kuhusu nafas ya mwenyekiti wa chama.
 
Utakuwa umelogwa au umezaliwa ukiwa na matatizo
 
Kuna Mwenyekiti huko Rorya kafungwa mwaka mmoja jela kosa kumsema vibaya Hitler aliyeenda zake. Tujifunze ujerumani ilianza kupona mara baada kiongozi wa wanazi kufa sasa hapa tumenza kupumbazwa na sauti nyororo na macho mlegezo kwa mifumo ile ile ya kihitler be ware
 
Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza.

Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai ) Musoma Mjini .

Baadhi ya Vijana wameanza kumuita FREEMAN OLE MBOWE kutokana na kupewa Uongozi wa Wamasai huko Arusha .

Jionee Mwenyewe, siongezi chochote

Haya mambo ndio CCM hawapendi kuona
 
Safi Mbowe kwa kuvaa barakoa kwenye mkusanyiko wa watu wengi.
Ni jambo la kufurahisha kuona mnaweza kufanya mikutano bila bughudha
Barakoa ya nn kavaa ilhali alitangaza kachomwa sindano ya chanjo!???
 
Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza.

Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai ) Musoma Mjini .

Baadhi ya Vijana wameanza kumuita FREEMAN OLE MBOWE kutokana na kupewa Uongozi wa Wamasai huko Arusha .

Jionee Mwenyewe, siongezi chochote

Safi sana

Ila asiache kwenda kuzulu kaburi la Marehemu Chacha Wangwe hata kama ilisemekana kwamba Mbowe ndie aliye injinia mauaji yake
 
Hizi nyuzi zinazohusu Chadema siku hizi zishaanza kukosa wachangiaji. Just imagine uzi una saa nzima afu wachangiaji kumi na moja tu tena wale wale wa siku zote.
Kuchangia ni hiyari vema ukaangalia je umesomwa na wangapi ndio muhimu...
 
Kuna Mwenyekiti huko Rorya kafungwa mwaka mmoja jela kosa kumsema vibaya Hitler aliyeenda zake. Tujifunze ujerumani ilianza kupona mara baada kiongozi wa wanazi kufa sasa hapa tumenza kupumbazwa na sauti nyororo na macho mlegezo kwa mifumo ile ile ya kihitler be ware
Ushuzi tupu
 
Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza.

Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai ) Musoma Mjini .

Baadhi ya Vijana wameanza kumuita FREEMAN OLE MBOWE kutokana na kupewa Uongozi wa Wamasai huko Arusha .

Jionee Mwenyewe, siongezi chochote

Genge la Wahuni tu hili, hivi hawa wanatofauti ipi na CCM, inchi hii hatuna Watetezi Wa taifa letu.
 
Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza.

Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai ) Musoma Mjini .

Baadhi ya Vijana wameanza kumuita FREEMAN OLE MBOWE kutokana na kupewa Uongozi wa Wamasai huko Arusha .

Jionee Mwenyewe, siongezi chochote

Bado tupo zama hizo!
 
Jaribu na wewe kama hata mama yako atajitokeza kwenye mkutano
ACHA hasira bro siasa haitaki hasira hapo mnateseka sana maana hamna mvuto na watu tena tumeshawagundua kuwa nyie ni matapeli wa kufa mtu yaani hamfai hata kwenye dshimo ndiyomaana hamuwezi kushika madaraka labda mkatafute nchi yenu ya wapumbavu wote ndiyo watawapa uongozi siy tz yetu
 
Msukule wa lumumba ktk ubora WAKO

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
wacha mtuite misulkule lakini tuna kula mema ya nchi mnajitahidi kuleta chuki lakini wananchiwameshawashtukia nyie ni mazwazwa tu yaani kama mnacheza kombolela tu vile kushika dola kwenu takuwa ndoto za mchana na dicteta wenu mbowe ambaye anaona nyie woooote ni wajinga wapumbavu hamuwezi kuongoza chama
 
Huu ni upungufu wa upeo.

Kwani mbowe mama yake kaenda hapo??

Wajnga sana nyinyi watu.
hao wataishia kumshangilia dj mbowe tu mwenzao anaendelea kula ruzuku mwenyekiti gani hataki kubadirisha uenyekiti wakaongoza na wengine yaani kawaona mazuzu hamna mfano kuwa hakuna anayeweza kuongoza zaidi yake na wao wanamtukuza kama mungu wao
 
MwenyeKwendaZake aliturudisha kwenye UJIMA!
 
Back
Top Bottom