Mapokezi ya Freeman Mbowe yatikisa Musoma Mjini

Bila kutumia busara yoyote, mwendazake angetuma maaskari wapige mabomu na risasi za moto kuwaumiza watu hadi kupelekea hadi vifo - jamaa pamoja na kuwa kashakufa ila alikuwa na roho mbaya balaa!!

Hizi ni shughuli za kisiasa ambazo katiba inazitambua kabisa.
 
Ukiangalia haraka haraka utafikir ni mapokezi ya mwenyekiti wa CHAUMMA ndugu Hashim Rungwe Spunda.

CDM wanaamini Mbowe pekee ndio mwenye akili timamu ndan ya Chama Chao ndio maana hawathubutu kufikiria nje ya box kuhusu nafas ya mwenyekiti wa chama.
Mfano kama nani mwingine angefaa? Nipe majina matatu tu.
 
Why do u have to put "ngosha" in there, do u know him?
Mkiitwa wakabila, mnabisha. Bro/ who de fvck ever u are, nyinyi sahauni kuhodhi madaraka hii nchi.
Na mm ni mchaga
Kwani umejua niliyemquote anaitwaje ? kabla ya kunishambulia angalia jina lake , ndio anavyojiita yeye mwenyewe
 
Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza.

Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai ) Musoma Mjini .

Baadhi ya Vijana wameanza kumuita FREEMAN OLE MBOWE kutokana na kupewa Uongozi wa Wamasai huko Arusha .

Jionee Mwenyewe, siongezi chochote

Hapo si ni kusambaza corona nchi nzima? Itabidi Mama sasa awe mkali.
 
Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza.

Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai ) Musoma Mjini .

Baadhi ya Vijana wameanza kumuita FREEMAN OLE MBOWE kutokana na kupewa Uongozi wa Wamasai huko Arusha .

Jionee Mwenyewe, siongezi chochote

Freeman Ole wake Sabay a Mbowe😅😅
 
Mbowe pamoja na kukiri kuchomwa Chanjo ya corona, kavaa barakoa. Nyumbu wanashangilia huku wakitemeana mate. Hawaogopi tena corona
Chanjo ipo kachome. Acha porojo. Korona ni ugo jwa wa mlipuko unakuja na kuondoka.
 
Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza.

Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai ) Musoma Mjini .

Baadhi ya Vijana wameanza kumuita FREEMAN OLE MBOWE kutokana na kupewa Uongozi wa Wamasai huko Arusha .

Jionee Mwenyewe, siongezi chochote

Erythrocyte un kazi kweli kweli! Bahati mbaya tumeshafahamu wewe ni shabiki wa CDM. Huna analytical brain ya mambo ya siasa. Huu umati ni mdogo kuliko uliojitokeza wakati wa kampeni za Lissu. Nini maana yake?
Hamjifunzi maana ya mbio ndefu, na huo ndo umuhimu wa elimu. Unaanza mbio leo hii 2021! Ifikapo 2025 huna pumzi. Wakati huo unafahamu wenzako CCM wameweka mvinyo kwenye chupa mpya ambayo huna la kusema juu yake.
 
Hii ni mikutano ya ndani tu mjomba , haya ni mapokezi ya mlangoni tu
 
Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza.

Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai ) Musoma Mjini .

Baadhi ya Vijana wameanza kumuita FREEMAN OLE MBOWE kutokana na kupewa Uongozi wa Wamasai huko Arusha .

Jionee Mwenyewe, siongezi chochote

Katikisa kitu gani? Kumbe Chadema bado ipo?
 
CHADEMA DAIMA
westbrookswag.png
 
Back
Top Bottom