Mapokezi ya Freeman Mbowe yatikisa Musoma Mjini

Tembea na tumia akili uliyojaliwa na Muumba wako. Acha kuvalishwa kifuu cha nazi mbovu wewe
acha ujinga zwazwawewe kibaraka wa mbowe yaani mmwenzenu kawaona hamna akili wote ya kuongoza chama zaidi yake yeye tu na nyie mnakubali kuwa hamna akili
 
mtanyooka na mtamkumbuka sana kwenu shetani lakini sisi tunamuona mtetezi wa wanyonge
Acha propaganda za kiduanzi.Kwanini mtu awe mnyonge kwenye nchi yake?Aliyemletea huo unyonge ni nani?
 
Mbowe pamoja na kukiri kuchomwa Chanjo ya corona, kavaa barakoa. Nyumbu wanashangilia huku wakitemeana mate. Hawaogopi tena corona
Nyie ndio mnafanya siku hizi JF ionekane kama jukwaa lililo jaa wajinga.
Yaani hujui hata faida ya kuvaa barakoa? Unadhani ni kujilinda mwenyewe tuu? Hiyo ni pamoja na kuwalinda wengine
 
Hilo la kuwa kiongozi wa wamasai nakukatalia mengine sawa lakini sio kiongozi wa kimasai hakuna mtu yyte ambaye si mmasai anaweza kuwa kiongozi wa kimasai hata siku moja
 
Hizi nyuzi zinazohusu Chadema siku hizi zishaanza kukosa wachangiaji. Just imagine uzi una saa nzima afu wachangiaji kumi na moja tu tena wale wale wa siku zote.
Wewe baki kuangalia uzi umechangiwa na wangapi,sisi wengine tupo kuchangia kwa hali na mali ili Mtanzania atoke kwenye laana ya CCM.
 
Ila ukiwa mentally enslaved basi. Unaweza ukaambiwa kula mavi na ukala.kama wale wafuasi wa mchungaji kibwetele wa Uganda wakikubali kuchomwa Moto kisa 2000 ndo mwisho wa dunia
 
Chama cha saccos lini kilipata mapokezi makubwa
 
CCM wanafikiri kwenye zama za Leo wanaweza kuumaliza Upinzani,NEVER! hadi ikafikia wakatuletea Dikteta Chizi ati kiboko ya Chadema
 
mema yapi ya nchi Unayokula ?chuki gani iliyoletwa hapo? Yaani wewe kusikia mbowe Au CDM unawashwa kweli kweli.... Waache wafanye mkutano wao, wewe Endelea kupiga yowe na bukusaba zako...WEZI WAKUBWA NYINYI...

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
acha ujinga zwazwawewe kibaraka wa mbowe yaani mmwenzenu kawaona hamna akili wote ya kuongoza chama zaidi yake yeye tu na nyie mnakubali kuwa hamna akili
Mrema, lipumba,nk Mbona huwasemi? Mbowe ana nini Nawe? MMEMSHINDWA? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]NABADO TUNAE MIAKA 2000 IJAYO,HUTAKI KUNYA BOGA

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…