Mapokezi ya Freeman Mbowe yatikisa Musoma Mjini

Mapokezi ya Freeman Mbowe yatikisa Musoma Mjini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza.

Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai ) Musoma Mjini .

Baadhi ya Vijana wameanza kumuita FREEMAN OLE MBOWE kutokana na kupewa Uongozi wa Wamasai huko Arusha .

Jionee Mwenyewe, siongezi chochote

Hizi nyuzi zinazohusu Chadema siku hizi zishaanza kukosa wachangiaji. Just imagine uzi una saa nzima afu wachangiaji kumi na moja tu tena wale wale wa siku zote.
Hizi nyuzi zetu tunachoangalia ni wangapi wamesoma , bila kujali kama wamechangia au La , sijui kama hili jambo unalifahamu
 
FB_IMG_1622469450143.jpg
FB_IMG_1622469442745.jpg
FB_IMG_1622469433060.jpg
 
Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza.

Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai ) Musoma Mjini .

Baadhi ya Vijana wameanza kumuita FREEMAN OLE MBOWE kutokana na kupewa Uongozi wa Wamasai huko Arusha .

Jionee Mwenyewe, siongezi chochote

Mnawazubaisha vijana hawafanyi kazi halafu mnesema maisha magumu. Mnawatumia kujijenga huku wao wakidhoofika.
 
Back
Top Bottom