Chama ambacho hakiendi kwa nguvu ya supporters wake sio viable political party. CCM imekuwa ikipumua kwa nguvu ya dola—it isn’t a viable political party anymore!View attachment 3614894
View attachment 3614895
Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
HakikaTutaimba wimbo mmoja wote
Hii ndio Mbeya ninayoijua. Hongereni wanafyale kwakuwa mstari wa mbele katika kuitakia mema nchi yetu.View attachment 3614894
View attachment 3614895
Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
tone tone inakaushwa na mchwa wakali sana ndani ya chadema aiseView attachment 3614894
View attachment 3614895
Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
Siku zote niliamini wewe ndugu yangu, kaka yangu Stuxnet upo upande wa haki ila tu kuna muda mafisadi mauji maccm sijui yanakupa nini hadi unakubali kuweka akili yako pembeniView attachment 3614894
View attachment 3614895
Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
Kuliko kumpigia kura yule kigagula Tulia Ackson au huyu Patrick Mwalunenge, nitampigia kura mpinzani yeyote atakayetokea. Haya mazezeta siyataki tena.Mkuu karibu Chadema
Na wewe endelea kumshangilia mamaNyumbu zinamshangalia mfalme wao
Na nyie mnamshangilia mwanamke toka nchi jirani ya Zanzibar kuitawala Tanganyika kana kwamba huko CCM hakuna mwanaume Mtanganyika mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanganyika, kitendo cha kumsujudia huyo Jezebel ni sawa na kushangilia mama zenu wakibakwa hadharani.Nyumbu zinamshangalia mfalme wao
Hahaha,Kuliko kumpigia kura yule kigagula Tulia Ackson au huyu Patrick Mwalunenge, nitampigia kura mpinzani yeyote atakayetokea. Haya mazezeta siyataki tena