Hii ni 'principle', sijawahi kuisikia; bali huwa nasikia msemo huu mara nyingi tu, na sijawahi kuuchukulia kuwa ni 'principle'.Principle ya dialogue ni moja kukubali kutokubaliana without getting into exchange of insults
Chawa zuzu hili, wananchi wachangie tena pesa ya kumwaga maji halafu kodi walizolipa zitumike kulipa machawa wa kusifia hata upumbavu kama wewe na akina Abdul kununua magari ya bilioni?Huko Mbeya ndio Kuna wajinga wengi sana.
Ingefaa hizo pesa wachange wampe mchina amwage maji barabarani wasipate vumbi vinginevyo watakula vumbi na kurundikana kwenye baa blaa hizo za kina Heche na hakuna chochote watapata.
Ndivyo wana CCM wa Morogoro, Kigoma, Kilimanjaro, Tabora, Mwanza na mikoa yote ya TANGANYIKA wanavyoilaumu CCM kwa kuwadharau.View attachment 3614894
View attachment 3614895
Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
Unakubali kiaina x2 Chid Benz 😂😂😂View attachment 3614894
View attachment 3614895
Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
Unakubali kiaina.....X 2 Chid Benz 😂😂😂😂 hawa jamaa wanatisha washakuwa imani hata ufanyeje huwezi wazuiaView attachment 3614894
View attachment 3614895
Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
Sasa unataka nikatae vipi hii hoja yako potofu kabisa isiyokuwa na msingi wowote.Mikoa ya wavivu ipo!! Ulishapita Tanga, Lindi, Tabora na Mtwara?
Hii inahusiana nini na mada ndugu Mtibeli? BTW barabara za Mbeya zimechimbuliwa sana ni zaidi ya miaka 3 sasa na hawataki kuzimaliziaMara ya mwisho Mbeya nimetoka 2014.
KUtoka Green City mpaka kuwa Brown City(jiji la vumbi)
Tukubali kutokubaliana na hiyo ndiyo haki ya kikatiba ya uhuru wa maoni. Siyo kila kitu nifikirie kama wewe, kuna wakati lazima tutofautianeJambo la msingi na maana la wewe ndugu Stuxnet kufanya ni kuomba radhi wana JF kwa kufurahia mazira wanayoyapitia Watanzania kwa kuunga mkono CCM + GoT na utendaji kazi wake.
Mafungu hakuna mambo yashakuwa magumu sana hazina imepukutika na wadau wa maendeleo wamegoma kutoa pesa kutokana na mwenendo wetu mbovu hasa kwenye suala la haki za binadamu, demokrasia, utawala wa sheria nk Hivyo vumbi litaendelea kutimka hapo sana tuHii inahusiana nini na mada ndugu Mtibeli? BTW barabara za Mbeya zimechimbuliwa sana ni zaidi ya miaka 3 sasa na hawataki kuzimalizia
Tumeishi na hiyo hali na tutaendelea kuishi nayo...acha tukomae tu mkuuMafungu hakuna mambo yashakuwa magumu sana hazina imepukutika na wadau wa maendeleo wamegoma kutoa pesa kutokana na mwenendo wetu mbovu hasa kwenye suala la haki za binadamu, demokrasia, utawala wa sheria nk Hivyo vumbi litaendelea kutimka hapo sana tu
Mwaka juzi nilikuwa huko nilikuwa nikipita sana mitaa hiyo Mbeya Pazuri, Block T, Sae, NaneNane, Forest mpaka Mlowo hali sio hali tena kipindi kile bora mkandarasi alikuwa anajitahidi kumwaga japo maji na kazi ilikuwa inaenda mdogo mdogo ila hapana ifike sehemu tuseme imetosha haiyumkini si shwari vumbi namna ile pale Kabwe, Mwanjelwa hakutamaniki, biashara za watu namna ile haifai. Tulia nae licha yabkuwa naibu spika kisha spika hakuna kitu amefanya haishangazi kakimbia jimbo la Mbeya mjini.Tumeishi na hiyo hali na tutaendelea kuishi nayo...acha tukomae tu mkuu
Sawa Kwa kuwa nanyi mmeikausha Nchi Kwa zaidi ya miaka 60 hakuna la maana mlilofanya.tone tone inakaushwa na mchwa wakali sana ndani ya chadema aise
Acha ujinga ww, walikuwa wanataka uhuru ama walikuwa wanapambania na ubaguzi wa rangi?Mifano haiendani, ANC walikuwa wanataka uhuru nyie mnagombea Katiba Mpya
Mnachoweza ni uchawa tu😂Nyumbu zinamshangalia mfalme wao
Hata hapa tunapambana kuondokana na wakoloni weusi. So uone jinsi unavyojicontradict kwenye utetezi wako.Kuppambana na ubaguzi wa Rangi ndiyo uhuru wenyewe same meaning different jargons