Pre GE2025 Mapokezi ya Jesca Kishoa kwa wananchi Kata ya Nkalakala akiwa na vazi la kijani na kusindikizwa na nyimbo za CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mama msaliti sana, kipindi hicho mumewe Kafulila alihamia CCM akamind sana mpaka akaacha tumia jina la Kafulila na kuachana naye. Wabebaki kulea watoto.
 
Hawa nyumbu Chadema wanatia kichefuchefu, wΓ naandaaje mkutano wao hΓ lafu wanavaa nguo za CCM?
Jesca ni mbunge VM kupitia Chadema na hawezi Γ ndaa mkutano wa Chama bila mabosi wake kuuridhia. Lissu amefeli sana.
 
Ni MKE Wake hadi sasa kwa mujibu wa Biblia
Hata ikitokea Mheshimiwa Kafulila Ameteuliwa kugombea Urais miaka ya huko Mbele .Huyo Jesca Kishoa ndiye atatambulika kuwa mke wake wa ndoa na halali. Na ndiye atakuwa First lady wetu. Hiyo ni kwa mujibu wa Biblia. Ila kibinadamu ndio sifahamu . Labda mnifafanulie vizuri.

Narudisha Maiki Kwako John Mzee wa Juice ya Mianzi..
 
Ni kweli kabisa David Kafulila aka Tumblr akiwa Rais wa JMT basi Jesca Kishoa ndiye First lady

Imewahi kutokea awamu Fulani huko nyuma akina Bwashee wakaokota Dodo chini ya muarobaini πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Ni kweli kabisa David Kafulila aka Tumblr akiwa Rais wa JMT basi Jesca Kishoa ndiye First lady

Imewahi kutokea awamu Fulani huko nyuma akina Bwashee wakaokota Dodo chini ya muarobaini πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Basi Siku moja Jesca Kishoa atakuwa First lady miaka ya huko mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…