Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Sawa tu, ila yote ni MAJAALIWA ya aliyejaliwa.Fungua code,kwani Namungo ipo wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tu, ila yote ni MAJAALIWA ya aliyejaliwa.Fungua code,kwani Namungo ipo wapi
Ni mwana CCMKwani yeye ni mwanachama wa chama gani?
Na hawara wa Diblo dibalaHivi ndo alokua mke wa Kafulila eh?
Ndo nani huyo .ilinipita hiiNa hawara wa Diblo dibala
💃Kaaphone Maaaaaajaliwaaaa
Kiswaswadu mhuni sana amemdhulumu tumbili my wake.Ndio huyo. Wakaachana baada ya kumcheat na Namungo FC
KiswaswaduNamungo ndo nani? Duh🙌
Yule anayepaka kiwi nyeusi kichwaniNdo nani huyo .ilinipita hii
Ndio Tumbili akaamua kujiuzuru RC. Sytem ikamuona potential. Akawaambia mnipe cheo ambacho sitakuwa nakutana na kiswaswadu mara kwa maraKiswaswadu mhuni sana amemdhulumu tumbili my wake.
Kiswaswadu mhuni sana amemdhulumu tumbili my wake.
Hawa nyumbu Chadema wanatia kichefuchefu, wànaandaaje mkutano wao hàlafu wanavaa nguo za CCM?Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Jesca Kishoa amefika katika Kata ya Nkalakala Wilayani Mkalama Mkoani Singida na kufanya mkutano wa hadhara na wananchi pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?
Kishoa amewasili katika mkutano huo leo tarehe 16 Februari, 2025 huku akiwa amevalia vazi lenye rangi ya kijani, sambamba na kusindikizwa na nyimbo zinazokiimba Chama cha Mapinduzi CCM
Hata ikitokea Mheshimiwa Kafulila Ameteuliwa kugombea Urais miaka ya huko Mbele .Huyo Jesca Kishoa ndiye atatambulika kuwa mke wake wa ndoa na halali. Na ndiye atakuwa First lady wetu. Hiyo ni kwa mujibu wa Biblia. Ila kibinadamu ndio sifahamu . Labda mnifafanulie vizuri.Ni MKE Wake hadi sasa kwa mujibu wa Biblia
Siyo ajabu na ndio maana hata wewe hupokelewa na wenzako wazee wa kujifukiza kichwani.Kwani ni ajabu mtu kupokelewa na wana CCM wenzake?
Lakini ukumbuke kuwa unasoma mapato na makusanyo ya mtaaSiyo ajabu na ndio maana hata wewe hupokelewa na wenzako wazee wa kujifukiza kichwani.
Mimi ni mkulima dogo na mapato yangu ni mpaka mwisho wa msimuLakini ukumbuke kuwa unasoma mapato na makusanyo ya mtaa
Toa ujinga wako hakuna mkulima ambaye hana akili kama weweMimi ni mkulima dogo na mapato yangu ni mpaka mwisho wa msimu
Ni kweli kabisa David Kafulila aka Tumblr akiwa Rais wa JMT basi Jesca Kishoa ndiye First ladyHata ikitokea Mheshimiwa Kafulila Ameteuliwa kugombea Urais miaka ya huko Mbele .Huyo Jesca Kishoa ndiye atatambulika kuwa mke wake wa ndoa na halali. Na ndiye atakuwa First lady wetu. Hiyo ni kwa mujibu wa Biblia. Ila kibinadamu ndio sifahamu . Labda mnifafanulie vizuri.
Narudisha Maiki Kwako John Mzee wa Juice ya Mianzi..
Basi Siku moja Jesca Kishoa atakuwa First lady miaka ya huko mbeleni.Ni kweli kabisa David Kafulila aka Tumblr akiwa Rais wa JMT basi Jesca Kishoa ndiye First lady
Imewahi kutokea awamu Fulani huko nyuma akina Bwashee wakaokota Dodo chini ya muarobaini 😄😄😄