Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unatia aibu kwa faida ya nani ?Hamna lolote hapo mambo na kauli ni zilezile.
Kulialia na kudakia hotuba za viongozi makini wa ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ibariki ChademaMnyika ni kati ya vijana makini wanaojitambua katika nchi hii, kichwa kimejaa madini tupu..ni kweli kuna watu walifikiri mzigo wa kupiga vita udikteta zilikiwa ni za Lissu mwenyewe...sasa nafikiri majibu washayapata !!
Hii hapa video unaweza kuitazama mwenyewe ,lakini kwa wasio na bando , Mh Mnyika leo amefika kwa mara ya kwanza kwenye jimbo analoliwakilisha la Kibamba tangu kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu na kupokelewa kwa kishindo na wapiga kura wake ambapo wamempongeza kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama .
Katika Hotuba yake fupi lakini iliyojaa madini matupu aliyoitoa mbele ya umati wa wananchi hao amesisitiza kila mmoja wakiwemo wana habari kuongeza juhudi za kupigania kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi ili kupata viongozi watakaoondoa Ombwe la uongozi
Hamna lolote hapo mambo na kauli ni zilezile.
Kulialia na kudakia hotuba za viongozi makini wa ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatia aibu kwa faida ya nani ?
Mnyika ni kati ya vijana makini wanaojitambua katika nchi hii, kichwa kimejaa madini tupu..ni kweli kuna watu walifikiri mzigo wa kupiga vita udikteta zilikiwa ni za Lissu mwenyewe...sasa nafikiri majibu washayapata !!
yule mtangulizi alitia aibu sana maana cdm ni mkakamchaka jamaa hata hajui cha kufanya akamaliza mda wakeKati ya vitu tulivyo vikosa cdm kwa miaka 5 ni katibu mwenye weledi kama mh Mnyika
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaaga kabisa na ubunge!Hii hapa video unaweza kuitazama mwenyewe, lakini kwa wasio na bando, Mh Mnyika leo amefika kwa mara ya kwanza kwenye jimbo analoliwakilisha la Kibamba tangu kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu na kupokelewa kwa kishindo na wapiga kura wake ambapo wamempongeza kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama.
Katika Hotuba yake fupi lakini iliyojaa madini matupu aliyoitoa mbele ya umati wa wananchi hao amesisitiza kila mmoja wakiwemo wanahabari kuongeza juhudi za kupigania kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi ili kupata viongozi watakaoondoa Ombwe la uongozi.
View attachment 1320971
kweli?Anaaga kabisa na ubunge!
Labda kama atagombea uraisAnaaga kabisa na ubunge!
Labda urais wa Tff!Labda kama atagombea urais
Hamna lolote hapo mambo na kauli ni zilezile.
Kulialia na kudakia hotuba za viongozi makini wa ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo akikosa huo ubunge unajidanganya kuwa atakuwa rofa kama wewe?Anaaga kabisa na ubunge!