Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Chadema Mh Mnyika yatikisa Kibamba, awaasa wanahabari kupigania Tume huru ya uchaguzi, Kabendera na Magoti watajwa

Nami namsisitiza Mh. Mnyika ahakikishe anadai Tume Huru ya Uchaguzi hadi inapatikana. Na isipopatikana, akiongoze chama chake cha Chadema kujitoa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020 kama walivyojitoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019.
 
Mnyika ni kiongozi tukiacha unazi wa vyama, hatutakiwi tuwe na uchaguzi kama wa serikali za mitaa hapana lazima tuwe na fair political competition kila mtu aruhusiwe kufanya siasa ilmradi havunji sheria


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Vyama vya upinzani na hasa viongozi wanapitia wakati mgumu sana naamini ni muda wa kujipanga na kua na agenda moja yenye manufaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kati ya vitu tulivyo vikosa cdm kwa miaka 5 ni katibu mwenye weledi kama mh Mnyika

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamia ni kweli Mnyika ni kijana makini na mwenye kujitambua. Lakini wewe kama ni mwanachama thabiti wa chadema, ungejua kuwaheshimu viongozi wako, unapomsifia kama ulivyo andika, pia unamponda mashinji kama kiongozi aliyekuwa hakufanya lolote, uongozi ni kupeana kijiti.

Mapenzi yako yawe ya chama na sio mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tufanye siasa na tuheshimiane CCM unayembeza mpinzani uelewe kuna siku CCM itakufa na haitoiongoza Tanzania kama ambavyo Vyama vingine mfano KANU vilikufa, tujenge umoja wa kitaifa na udugu wetu hawa wanasiasa watapita nchi itabaki


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yesu akauliza, je mwamkataa shetani na mambo yake yote? semeni tunamkataa, je mwaikataa ccm na mambo yake yote ......??
 
Kwa hotuba hiyo fupi, inaonekana bado John Mnyika aliyekuwepo bado yupo hadi leo.

Haya kazi ya kudai 'Tume Huru' ianz mara moja.

Hii itakuwa kazi ngumu sana; lakini ni kazi inayowezekana kabisa, na matokeo yake yatakuwa mazuri.
 
Nawewe kamsifie Mangula
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakusaidia nini wewe mramba miguu wa chakubanga?
Nami namsisitiza Mh. Mnyika ahakikishe anadai Tume Huru ya Uchaguzi hadi inapatikana. Na isipopatikana, akiongoze chama chake cha Chadema kujitoa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020 kama walivyojitoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…