CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Nyumbu wa kijani wamekosa kazi kila siku kiguu na njia kupokea uozo.Tufuatilie Mbashara Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg Stephen Wasira Mkoani Dodoma.
Nyumbu wa kijani wamekosa kazi kila siku kiguu na njia kupokea uozoTufuatilie Mbashara Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg Stephen Wasira Mkoani Dodoma.
Huyu kweliWamesombwa tu sa mtu na akili zako unaenda kumpokea wasira
Mbingu Na Ardhi
Ebu haraka sana mtafuteni Makongoro Nyerere kokote aliko... Mtazamo wake ni muhimu sana kwenye hili!Tufuatilie Mbashara Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg Stephen Wasira Mkoani Dodoma.
Huyo mzee wasira mbona life time yake imesha kwisha bado muda mfupi tu mzoga unafukiwaTufuatilie Mbashara Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg Stephen Wasira Mkoani Dodoma.
mchangaji wa karata hii ametisha CHADEMA wamelamba joka
Ulitaka apokelewe babako?Wamesombwa tu sa mtu na akili zako unaenda kumpokea wasira
Kilichooza ni akili yako. CCM hakuna nyumbu, nyumbu wako huko kwenu we bwegeNyumbu wa kijani wamekosa kazi kila siku kiguu na njia kupokea uozo.
You went too far mkuu,Huyo mzee wasira mbona life time yake imesha kwisha bado muda mfupi tu mzoga unafukiwa
Hivi huyu Mzee ilikuwaje akubali uteuzi huu??Tufuatilie Mbashara Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg Stephen Wasira Mkoani Dodoma.
Makongoro Nyerere mzee wa "Bado yupo tu"Ebu haraka sana mtafuteni Makongoro Nyerere kokote aliko... Mtazamo wake ni muhimu sana kwenye hili!
Mara 100 baba angu kuliko zinjaUlitaka apokelewe babako?
Wewe ndiyo nyumbu kabisa unaandika ujinga ujinga tu,midume suruwali mnaburuzwa na mshangazi wa Kizimkazi pumbavu zenu kabisa nyumbu wa kijaniU
Kilichooza ni akili yako. CCM hakuna nyumbu, nyumbu wako huko kwenu we bwege