Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wassira Dodoma

Kauli za wasira eti "no reform no election" Haina maana kwenye maridhiano ,mwambieni waliompa hio nafasi na kuanza kulopoka hayo wanamuingiza mkenge kabisa!!

Yaani wamemtoa kafara huyu babu yangu!wale jamaa washasema wale" conservatives wanaotaka mambo yabaki hivi hivi wataondoshwa na hawatakiepo tena!"!
 
Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom