Kauli za wasira eti "no reform no election" Haina maana kwenye maridhiano ,mwambieni waliompa hio nafasi na kuanza kulopoka hayo wanamuingiza mkenge kabisa!!
Yaani wamemtoa kafara huyu babu yangu!wale jamaa washasema wale" conservatives wanaotaka mambo yabaki hivi hivi wataondoshwa na hawatakiepo tena!"!