Sio polisi wote ni polisi wale wakubwa wakubwa. Hawa wa level ya chini na middle class wanaambulia patupu ni ma amri tuSema majeshi na polis na wakurugenzi kwani hao ndio wanaokula keki ya taifa hili lkn hakuna mtanzania hata mmoja mwenye akili timamu atakae wachagua nyinyi
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Ama kweli Mungu ni mwemaHistory imeandikwa. Hongera Tundu Lissu kwa kuaminika kwa Watanzania kiasi hiki.
Asubiri kazi ya uafisa kificho tu.Watu walikuwa wachache Sana na uzr nilikuwepo ...aisee Silinde mtafutieni kz ya kufanya , Tunduma hapawezi na hawezi kumtoa Mwakajoka
Kila fuso watu 30, mafuso kumi ni watu 300, hawa wakimwagwa uwanjani CCM inapata nafuu. Maana sio nyomi ya Lissu ile aisee
Kila siku wanaongeza. LISSU sio moto wa kuotea karibuNna uhakika nilishaona coment yako inayo sema Lisu hafikishi hata 5%! Naona unaongeza tu taratibu kama mnada wa kanisa! Naomba ukifika 60%, usitishe ubashiri, zitatosha kuunda serikali!
Jamaa jinga sanaKama ambavyo alidhani miaka mitano haitaisha
Kagera Hadi tubebwe ktk magari ndio tunachaza uwanja.Umeiona nyomi ya Kagera lakini?
Hata Albashir wa Sudan alikuwa na kauli kama hizo.At the end yuko nyuma ya nondo. What goes around comes around my friend. Even if after so many years.Comrade hakuna kipindi chadema mlikua na nguvu kama mwaka 2015 kipindi kile tulipata kazi sana kumnadi Magufuli nakumbuka vizuri sana jinsi mafuriko ya lowassa yalivyotusumbua.
Lissu hana nguvu kumzidi lowassa, kampeni imekua rahisi sana na tutampiga mapema sana. Hana nafasi katika nchi hii.