Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Ha ha ha ha ha si wale walioenda kumpa ukweli Bwashee kuwa hawampi kura au ipi tena hyo. Mkuu Tundu kasema ataenda kule kuongea nao ili baada ya oktoba 28 akawakombolee watu wao. Ni mwendo wa Mpela Mpela wala hakuna kutema mate wala kuchimba dawa
Lissu asipoua mtu mwaka huu basi hafi tena. Kuna mmoja kashasepa Lema alimuonya hakusikia.
 
Chadema njaa kali Mbowe kapiga hela za kampeni we hushtuki 2015 mlikua hampitishi bakuli kwenye mikutano yenu??

Kuhusu wasanii wote tunajua kuwa wasanii wamekataa kufanya kazi na nyinyi matusi, kejeli, masimango ni jadi yenu.
 
ufedhuli , kwenda kwa mazoe,na kufanya utafiti za kujifurahisha zisizo reflect hali halisi ili kufurahishana kume waponza.waliwachukulia wananchi poa tu
Yaani miccm bwana imetesa sana watu. Sasa itaondoka tu hakuna namna.
 
Chadema njaa kali Mbowe kapiga hela za kampeni we hushtuki 2015 mlikua hampitishi bakuli kwenye mikutano yenu??

Kuhusu wasanii wote tunajua kuwa wasanii wamekataa kufanya kazi na nyinyi matusi, kejeli, masimango ni jadi yenu.
✌✌✌forever.
 
Kama wasiposikiliza sauti ya Mungu kupitia Umma. Kabla hawajafika huko kuna mtu atapigwa na stroke kwanza
 
Chadema njaa kali Mbowe kapiga hela za kampeni we hushtuki 2015 mlikua hampitishi bakuli kwenye mikutano yenu??

Kuhusu wasanii wote tunajua kuwa wasanii wamekataa kufanya kazi na nyinyi matusi, kejeli, masimango ni jadi yenu.
Endelea kuweweseka wakati wenzako ndiyo wanajiandaa kukabidhiwa nchi na sijui nyinyi waramba miguu mtajificha wapi, labda mtarudi kwenu Burundi
 
Kalale wewe
Hahahaa Hivi Siasa Unaijua wewe Wenzenu CCM wanawapiga Kura nyie mnamashabiki Lowassa aliondoka na Asilimia zake 30 kazirudishwa CCM so mwaka huu mkipata 20% mshukuru sana asee Maana CCM itawapiga kichapo cha mbwa koko
 
Tundu Lissu wapeleke mchaka mchaka , wapeleke kikamanda mchaka mchaka
Maskini wale wazee wakijichnganya wanazorota wiki ijayo tu

Kila anapojitahidi anajikuta ameharibu tena.

Saaa hao waliokamatwa atawaachia?? Asipowaachia kitanuka kagera akiwaachia Lissu atachukua kombe. Yaani ni sintofahamu tupu.
 
Endelea kuweweseka wakati wenzako ndiyo wanajiandaa kukabidhiwa nchi na sijui nyinyi waramba miguu mtajificha wapi, labda mtarudi kwenu Burundi View attachment 1571577
Hahaha comrade huo upupu mmeshindwa hata kuleta picha tu ya kuzomewa maana video imewatoa jasho. Tena chadema mlivyo na kidomodomo ingekuwa ni kweli tungekoma leo video zingesambaa jukwaa zima.
Uzushi hautawapa kura. Ndo maana ule uzi wenu moderators wameufutilia mbali.
 
Speech ya Lissu Tunduma....ni heavyweight.
 
Acha story katika mambo serious. Hao wapiga kura wa CCM unaowaongelea ni hao wanazururishwa kwenye maroli? Unajiona wewe ndiyo bonge la mgunduzi kwamba hao siyo wapiga kura?
ccm inawapenda wanachama wake hawataki waangaike, nyie endeleeni kuamini kuwa wanaobebwa wanalazimishawa wakati nyie wenu hawana kadi,watunza kadi wengi ni wamama,wazee na watu waliostarabika hao ambao mnawaona wanajaa kwenye mikutano yenu ni wale wasio na kadi,vibaka,waliokata tamaa za maisha kwa bhangi na utapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…