Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Video : Tunduma
 

Attachments

  • _Tunduma mmevunja rekodi ya Tanzania_ Mhe. @tunduantiphaslissu ( 352 X 640 ).mp4
    5.9 MB
Leo bukoba ilikuwaje??? Mmeshawaachia wahaya wa watu waliowakataa??? Au mtawafungulia makosa ya uhujumu uchumi muwatese kama Kabendera na mama yake???
Hao watatu walijitoa muhanga tu kwa kaiza nero lakini maelfu kwa maelfu hwaitaki ccm
 
Hahahaa Hivi Siasa Unaijua wewe Wenzenu CCM wanawapiga Kura nyie mnamashabiki Lowassa aliondoka na Asilimia zake 30 kazirudishwa CCM so mwaka huu mkipata 20% mshukuru sana asee Maana CCM itawapiga kichapo cha mbwa koko
Hawa WAHUNI wa CCM Mpya ni suala la muda tu, hakuna Mwananchi anayejitambua anayependa kuendelea tena na hii Serikali ya WATEKA NYARA, Kubambikia kesi zisizo na dhamana Watu, Kulipisha Kodi mara mbili zaidi ya gharama halisi za manunuzi, Kukandamiza demokrasia na kuminya uhuru wa habari n.k
 
Back
Top Bottom