Sijui ni mwaka gani lakini kwa muonekano wa Nyerere [mvi na uso kuanza kuwa na makunyanzi[ naweza kusema labda ni miaka ya 70 mwanzoni mwanzoni.....
Ukiwa kiongozi mwenye msimamo hata watu wanaotofautiana nawe watakuheshimu. Ukiwa mtu usiye na msimamo hata wanaokudharau watajifanya wana kuheshimu.
Nyani Ngabu,
..ninavyoelewa mimi ni kwamba Mwalimu alikuwa anapata msaada mkubwa wa kiuchumi toka magharibi kuliko nchi nyingi ktk afrika.
..lakini Mwalimu huyo huyo alikuwa ni mkosoaji mkubwa na mpinzani nambari moja wa sera za mambo ya nje za nchi za magharibu na zaidi alikuwa mjamaa.
..sasa hawa viongozi wa leo wanafikiri kwamba ili tupate misaada au tupate wawekezaji toka magharibi ni lazima, lazima, tujikombe-kombe kwao na kuwapa rasilimali zetu kwa mikataba inayotuumiza.
..hayo ndiyo ambayo mimi yamenifikirisha sana nilipoangalia video hii.
cc Kimweri, Nyenyere, ZeMarcopolo, Kapwela, Nguruvi3, Kiranga, MOTOCHINI
Ukiwa kiongozi mwenye msimamo hata watu wanaotofautiana nawe watakuheshimu. Ukiwa mtu usiye na msimamo hata wanaokudharau watajifanya wana kuheshimu.
Hapa Nyerere akiikosoa Uingereza pia
Nyerere alikuwa na influence kubwa Africa
so Western Nations walitambua kuwa ukitaka ku deal na Africa..deal na Nyerere
ndo maana hayo mapokezi alipewa Nyerere na later Mandela only
Hata first time Nyerere anaenda USA wakati wa Kennedy .mapokezi yalikuwa makubwa
Nyerere alipoanza kuwafuata Wachina na ku copy siasa za wachina ndo kidogo Westen Nations wakajaribu
kumpotezea ingawa walikuwa wanajua ana influence kubwa Africa..
Hapa Nyerere akiikosoa Uingereza pia
Sijui ni mwaka gani lakini kwa muonekano wa Nyerere [mvi na uso kuanza kuwa na makunyanzi[ naweza kusema labda ni miaka ya 70 mwanzoni mwanzoni.....
Mtangazaji anasema ilikuwa ni Kama London nzima iko pale! This is classic! Nina uhakika tukipata viongozi wazuri heshima itarudi, Kwasababu rasilmali tulizonazo sasa ni more than tulizokuwa nazo at that time.