Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Umenigusa sana NN
Leo ndio nakuona maeneo haya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenigusa sana NN
Unajua, nchi za magharibi zina watu wanaoangalia mambo kwa mtazamo mpana.Nyani Ngabu,
..ninavyoelewa mimi ni kwamba Mwalimu alikuwa anapata msaada mkubwa wa kiuchumi toka magharibi kuliko nchi nyingi ktk afrika.
..lakini Mwalimu huyo huyo alikuwa ni mkosoaji mkubwa na mpinzani nambari moja wa sera za mambo ya nje za nchi za magharibu na zaidi alikuwa mjamaa.
..sasa hawa viongozi wa leo wanafikiri kwamba ili tupate misaada au tupate wawekezaji toka magharibi ni lazima, lazima, tujikombe-kombe kwao na kuwapa rasilimali zetu kwa mikataba inayotuumiza.
..hayo ndiyo ambayo mimi yamenifikirisha sana nilipoangalia video hii.
cc Kimweri, Nyenyere, ZeMarcopolo, Kapwela, Nguruvi3, Kiranga, MOTOCHINI
Nita ripoti abuse! lolLeo ndio nakuona maeneo haya...
Nita ripoti abuse! lol
That was when we were properly respected. With the barely intelect presidents we choose these days, no one will pay attention to us anymore. We are as clueless as clueless gets. Nyerere knew why we were poor and worked his pants off to achieve that. The current bunch of cronies only agenda is to get to the white house and serve their 10 year vacations.
JK would visit London and not even the damn BBC would show anything. He is simply not important, you should not expect parades across the Buckingham palace for these pretenders we have now. Nyerere was a proper president and he stood equal in front of anyone, for he had the intellect and the resolve to go through. The cronnies we have now would probably be convinced that they aren't even presidents if faced with a proper head.
Diplomatically, Tanzania is one example of an athlete who reached their prime earlier on in their careers and sort of plateaued there after.
We don't make Nyerere's anymore.., and as long as we keep this hopeless policy of electing president whoever kisses *ss the hardest we can forget about being relevant to anyone and any nation that matters for a long time. The legacy Neyerere built for us will not last forever.
..katika kizazi cha sasa yuko kiongozi mmoja anaweza kumfikia Mwalimu but he needs more "polishing."
Kimweri,
..intelect.
..eloquence.
..passion.
..hayo mambo ma-3 ndiyo yanayomtofautisha Mwalimu na waliomfuatia.
..katika kizazi cha sasa yuko kiongozi mmoja anaweza kumfikia Mwalimu but he needs more "polishing."
Unajua, nchi za magharibi zina watu wanaoangalia mambo kwa mtazamo mpana.
Ukiangalia hotuba yake , alivyomaliza ukumbi wote ulisimama kwa round applause.
Yaani hata wasiokubaliana naye wanakubali anajenga hoja na wanajifunza.
Hivyo, alipokuwa anawasema si kuwa aliwasumanga bali aliwaonyesha the other side of the coin
Akiongelea human diginity, hii ni matra kwa nchi za magharibi, sasa Mwalimu alikuwa anawaeleza ' they should walk the talk' hapo ndipo alipokuwa anawapata.
Kwamba kama diginity ni suala muhimu sana, vipi ubaguzi kama ule wa Afrika kusini
Ziara nzima imenigusa kwasababu ilikuwa ya ki-Rais hasa.
Hata kama ningelikuwa UK wakati huo, ningejitokeza na bendera yangu licha ya ufukara, uchanga na udhaifu wa taifa letu miaka hiyo.
Ningejivunia sana kuwa na kiongozi anayeonyesha dunia' it's matter of time' tutakuwa wazuri tu.
Nadhani hapo ndipo wengi walipo focus kuwa taifa hili kama lina kiongozi wa namna hii lina bright future
Siku hizi hata kujitambulisha tunaona aibu maana hakuna tunachojivunia zaidi ya kupitisha bakuli na kulia lilia miaka 50 baada ya uhuru.
Ukiangalia video utaona tofauti ya Tanzania tuliyoifikiria na Tanzania tuliyo nayo! so sad
Who's that...?
Nyerere anaweza kutoka nje ya nchi mara moja au mbili kwa mwaka.
Alikuwa anajua kile anachokifanya iwe kwa kusoma au kuandika.
Nadhani Nyerere alikuwa kiongozi pekee wa tanzania aliekuwa anajitambua kifikra ndio maana misimamo yake hasa congress na house of commons walikuwa wanaitambua na kuiheshimu.
Its actually around 1975,when Wilson was British PM. Nyerere had proper respect. Hawa wapagazi wetu wa ikulu miaka ya karibuni wanachanganya kuchekewa na wazungu with respect. Nyerere, angekutana na hivi viwestern leaders vya siku hizi,wengi wangemgwaya. Nyerere was a first class statesman.Type ya Kina Putin, Kennedy, Thatcher etc.., you knew when you met him you are meeting a no nonsense and driven person.
Jamani mambo yamebadilika sana siku hizi. Miaka ya zamani kumuona rais mweusi ilikuwa big dili.
Na ziara moja ni lazime ilikuwa ya kwenda China.
Hivi kwanini Nyerere hakutengeneza Nyerere wengine wa miaka 50 ijayo?
Sasa Tanzania tunasumbuka na marais wa ajabu sana.
January Makamba, Mwigulu,