Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza

Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza

Hivi tumefeli wapi? kwa nini tumefeli kupata Rais mwingine atakayepata mapokezi ya kifalme kama haya? tatizo nini?
 

Mwalimu Nyerere gave the speech on 8 June 1978 when he addressed Western diplomats and others at Ikulu. It was in response to American complaints about Soviet and Cuban involvement in Angola and attempts by Western powers to establish a "Pan-African" security force ostensibly to maintain peace and security on the African continent even without being asked by African leaders to do so.
 
1620138630493.png
 
1620224245238.png

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Wa kwanza kutoka kushoto ni Job Lusinde, nyuma yake Austin Shaba, halafu Oscar Kambona upande wa kulia wa Nyerere, Bhoke Munanka nyuma ya Nyerere na Kassim Hanga, na wengineo pamoja na Karume.

Inaonekana kulikuwa na wawakilishi watano kutoka Tanganyika, pia watano kutoka Zanzibar. Pamoja na Karume na Hanga, nadhani hao wengine watatu ambao sijui ni kina nani walikuwa ni Wazanzibari. Nimewatambua wawili kutoka Zanzibar, Karume na Hanga, watano kutoka Tanganyika: Nyerere, Kambona, Lusinde, Munanka na Shaba.
 
1620224750933.png

Governor Richard Turnbull, Abdallah Said Fundikira, Amir H. Jamal na Derek Bryceson
 
Back
Top Bottom