Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Prof. Lipumba jijini Dar es Salaam yaweka historia

Kama Mbowe alianguka mwenyewe kwa ulevi wake alafu akatangaza amepigwa na wasiojulikana ili apate kiki ,hata hizo ofisi zimechomwa na Chadema ili wapate kiki vizuri.
Ha haha, kwa hiyo Mbowe wakati anaanguka mwenyekiti mwenzake alikuwa wapi?
(Picha kutoka maktaba)
 
Sina hakika tena maandamano au mkusanyiko ni nini tena. Huku Sugu anakamatwa, huku Lipumba na Lissu wanaachwa. Huku watu wanajusanyika kufanya fujo dhidi ya Lissu, huku polisi wanaona hakuna tatizo!!

Tuna safari ndefu sana, kila jambo sasa ni subjective!! Ni kama linapendwa au halipendwi. Sio tena kama ni kuvunja sheria au kutimiza haki!
 
Wagombea watatu toka ACT,CUF na CHADEMA halafu bado mna nguvu ya kumshinda Magufuli?acheni kujipotezea muda wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…