Uungwana Vitendo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,323
- 508
Thibitisha ufeki wakeKwa picha hizi fake toka msemaji wa chama, sasa nimethibitisha pasipo na shaka kuwa cuf ni mfu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha ufeki wakeKwa picha hizi fake toka msemaji wa chama, sasa nimethibitisha pasipo na shaka kuwa cuf ni mfu
Hata hii hapa ni historia mkuuHistoria ni nyingi sana siku hizi
Ha haha, kwa hiyo Mbowe wakati anaanguka mwenyekiti mwenzake alikuwa wapi?Kama Mbowe alianguka mwenyewe kwa ulevi wake alafu akatangaza amepigwa na wasiojulikana ili apate kiki ,hata hizo ofisi zimechomwa na Chadema ili wapate kiki vizuri.
Mmmmh mbona picha mbili za mwisho ni za zamani mkuu, propaganda hii CUF inawanufaisha nini
Wacha kumzihaki profesa wewe, kimsafara alikuwa anakachungulia juu ya sunroof pale
HII PICHA YA KATIKATI SIO, !
Congo Kariakoo hata mie ningejaza nyomiPicha za Congo kariakoo
You are very cleverAmepokelewa na CCM wenzake
ThanksYou are very clever