Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Prof. Lipumba jijini Dar es Salaam yaweka historia

Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Prof. Lipumba jijini Dar es Salaam yaweka historia

Huyo anaweza kuwa na ajenda bora zaidi za kiuchumi kulikomgombea yeyote yule,shida yakee ni mamluki sana anadharirisha professional yake kwa kutumika hovyo
 
Ukipita Kariakoo tokea lini ukakosa watu, Hata mpumbavu akipita mtaa wa Kariakoo ataonekana ana watu wa kumfuata. Kariakoo wenyewe ni mtaa wa msongamano

Umesahau na Buguruni Man Man
 
Huyu ndio mnyamwezi
Huyu wazazi wake kati ya baba ama babu watakuwa na damu ya Rwanda ama Burundi...hakuna mnyamwezi msanii wa kiwango hiki !!

Mzee kwa usanii balaa, yaani ukipiga kura Tanzania basi mzee huyu top 3 hakosi.
 
Pumbafu kabisa,
Msemaji wa CUF huoni hata aibu kumlipot Lipba asiyekuwa na haya Wala aibu.
 
Pumbafu kabisa,
Msemaji wa CUF huoni hata aibu kumlipot Lipba asiyekuwa na haya Wala aibu.
 
Nafikiri hata haya majanga ya matetemeko dar inawezekana ni mikosi ya akina Prof Lipumba na Rungwe!!

Eti Lipumba anagombea urais!! Eti pro Rungwe anagombea urais! Sijui laanaaaaa!
 
Kama Mbowe alianguka mwenyewe kwa ulevi wake alafu akatangaza amepigwa na wasiojulikana ili apate kiki ,hata hizo ofisi zimechomwa na Chadema ili wapate kiki vizuri.
Hivi ni mimi peke yangu sielewi au tupo wengi! Mapokezi ya Lipumba huko Dar na kuchomwa ofisi za Chadema huko Arusha vina uhusiano gani?
 
Bandiko Na. 4: UUngwana Vitendo anasema "Huyu ndiyo Mnyamwezi". Bandiko Na. 12: Babati anasema "Chama mfu. Mbona haendi kwao Tabora". Bandiko Na. 28: Fuso anasema wazazi wa Lipumba ama ni Wanyarwanda au Warundi. Hivi hizi fikra za ukabila zinatoka wapi? Kwa hiyo Lissu aishie Singida tu; Hamad abakie Zanzibar tu; na Membe awe kwao huko kusini (sijui Mtwara) tu? Haya ni mawazo mfilisi. Tunawaza kutengeneza taifa la Tanzania. Hivyo tusilete mambo yasiyo na maana ya ukabila. Tufikirie mtu anayeweza kuiendeleza nchi yetu. Tusiwe kama jirani zetu Wakenya ambao mtu atakuchagua wewe kama ni wa kabila lake tu.
 
Huyu wazazi wake kati ya baba ama babu watakuwa na damu ya Rwanda ama Burundi...hakuna mnyamwezi msanii wa kiwango hiki !!

Mzee kwa usanii balaa, yaani ukipiga kura Tanzania basi mzee huyu top 3 hakosi.
Lisu damu yake ipo kenya
 
Bila kuwa msanii huwezibkuwa mwanasiasa .
What stands at the end kwa mwanasiasa ni msimamamo wako..wafuasi wanataka msimamo....sasa hawa wa TLP, UPD, NCCR na CUF kuna jipya wanalo kaka? Just making numbers
 
[SUP]😂😂😂😂😂😂😂😂😂[/SUP]
[SUP]ukisha danganya unapata faida gani ccm bana[/SUP]
 
Kwa picha hizi fake toka msemaji wa chama, sasa nimethibitisha pasipo na shaka kuwa cuf ni mfu
 
What stands at the end kwa mwanasiasa ni msimamamo wako..wafuasi wanataka msimamo....sasa hawa wa TLP, UPD, NCCR na CUF kuna jipya wanalo kaka? Just making numbers
Usifananishe cuf na vyama vingie wewe
 
Back
Top Bottom