100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ushindani unaweza kuongeza maendeleo na nchi kama zetu za kifukara kuwa na options kibao.Kuna faida gani ya dunia kuwa multipolar tofauti na bipolar?
Multipolar kinyume chake ni Unipollar.Kuna faida gani ya dunia kuwa multipolar tofauti na bipolar?
Ahaa, je dunia ni unipolar chini ya USA au bipolar chini ya USA na China?Multipolar kinyume chake ni Unipollar.
Unipollar- single country to control or have a mandate on multiple aspects ie economy and political aspects.
Gentleman,Katika hii ziara ambapo Putin ameenda China naona mambo hayakuwa kiofisi tu kama Trump alivyo karibishwa, Xi na Putin wameonekana wakipika pamoja vyakula vya asili vya China, wakinywa pombe , na wamekula pamoja, wamesafiri pamoja kwa treni ya mwendokasi, wameangalia michezo pamoja.
Nimekaa hapa natafakari naona huu ni ujumbe tosha kwa US na NATO, maana hii hospitality amepata Putin ni tofauti kabisa na jinsi Trump alivyokaribishwa.
Naona Xi katuma ujumbe makusudi, ukiachilia hilo wamesaini mkataba , na kikubwa zaidi wamesaini mkataba wenye kurasa 47 , Joint Declaration on a Multipolar World Order,mkataba huo , ni mkakati mzito wa kisiasa uliolenga moja kwa moja kupinga ubeberu na ulimwengu unaoongozwa na nchi moja tu , unipolar, hususani wakiilenga USA.
Nimeshangaa sana maana Trump kaenda China na amerudi mikono mitupu...
Yote na yote Iran imefanya maajabu sana, na imewapa Xi na Putin kiburi hata cha kufanya jambo hili... salute to Iran.
View: https://www.youtube.com/watch?v=za58qXRreZA
Mkuu naona kama context inakupiga chenga kidogo?Ahaa, je dunia ni unipolar chini ya USA au bipolar chini ya USA na China?
Mkuu kila uchao mambo yanazidi kubadilika tumeona anachokifanya iran kupigania maslahi ya taifa lake. Hapa ukija kwa putin na xi utaona kabisa wana share a common enemy ambae ni tishio kwa mataifa yao hivyo kupambana nae inahitaji umoja.Khaibar ITR Makebo King faisal Xi Jinping Bwana Utam na askari wote wa IRGC tuliopo Iran piteni hapa..
Mahusiano ya China na Marekani ni wa kimasilahi zaidi ila urafiki wa Urusi na China ni wa kiundugu zaidi.Katika hii ziara ambapo Putin ameenda China naona mambo hayakuwa kiofisi tu kama Trump alivyo karibishwa, Xi na Putin wameonekana wakipika pamoja vyakula vya asili vya China, wakinywa pombe , na wamekula pamoja, wamesafiri pamoja kwa treni ya mwendokasi, wameangalia michezo pamoja.
Nimekaa hapa natafakari naona huu ni ujumbe tosha kwa US na NATO, maana hii hospitality amepata Putin ni tofauti kabisa na jinsi Trump alivyokaribishwa.
Naona Xi katuma ujumbe makusudi, ukiachilia hilo wamesaini mkataba , na kikubwa zaidi wamesaini mkataba wenye kurasa 47 , Joint Declaration on a Multipolar World Order,mkataba huo , ni mkakati mzito wa kisiasa uliolenga moja kwa moja kupinga ubeberu na ulimwengu unaoongozwa na nchi moja tu , unipolar, hususani wakiilenga USA.
Nimeshangaa sana maana Trump kaenda China na amerudi mikono mitupu...
Yote na yote Iran imefanya maajabu sana, na imewapa Xi na Putin kiburi hata cha kufanya jambo hili... salute to Iran.
View: https://www.youtube.com/watch?v=za58qXRreZA
Ulitaka Trump apike chakula pamoja na watema makohozi.Katika hii ziara ambapo Putin ameenda China naona mambo hayakuwa kiofisi tu kama Trump alivyo karibishwa, Xi na Putin wameonekana wakipika pamoja vyakula vya asili vya China, wakinywa pombe , na wamekula pamoja, wamesafiri pamoja kwa treni ya mwendokasi, wameangalia michezo pamoja.
Nimekaa hapa natafakari naona huu ni ujumbe tosha kwa US na NATO, maana hii hospitality amepata Putin ni tofauti kabisa na jinsi Trump alivyokaribishwa.
Naona Xi katuma ujumbe makusudi, ukiachilia hilo wamesaini mkataba , na kikubwa zaidi wamesaini mkataba wenye kurasa 47 , Joint Declaration on a Multipolar World Order,mkataba huo , ni mkakati mzito wa kisiasa uliolenga moja kwa moja kupinga ubeberu na ulimwengu unaoongozwa na nchi moja tu , unipolar, hususani wakiilenga USA.
Nimeshangaa sana maana Trump kaenda China na amerudi mikono mitupu...
Yote na yote Iran imefanya maajabu sana, na imewapa Xi na Putin kiburi hata cha kufanya jambo hili... salute to Iran.
View: https://www.youtube.com/watch?v=za58qXRreZA
Wewe unaonaje upo eneo fulani na ni mfanyabiashara, mji mzima una bidhaa fulani ambayo haipatikani kwingine zaidi ya duka lako? Ni obviously utaanza kuwa na dharau, utapanga bei utakavyo, na wateja watakunyenyekea.Kuna faida gani ya dunia kuwa multipolar tofauti na bipolar?
Una maana ma promoter wa ushoga wapike chakula pamoja na Chinese?Ulitaka Trump apike chakula pamoja na watema makohozi.
Ni sahih mkuu..Mkuu kila uchao mambo yanazidi kubadilika tumeona anachokifanya iran kupigania maslahi ya taifa lake. Hapa ukija kwa putin na xi utaona kabisa wana share a common enemy ambae ni tishio kwa mataifa yao hivyo kupambana nae inahitaji umoja.
Dunia yenye nguvu kutoka kwa mataifa mengi, si taifa moja tu kuongoza kila kitu. Dunia isiwe chini ya “superpower” mmoja pekeeKuna faida gani ya dunia kuwa multipolar tofauti na bipolar?
Xi and Putin bromance, mkutano huu umeonyesha umuhimu wa China na Russia kwenye dunia ya multipolarKatika hii ziara ambapo Putin ameenda China naona mambo hayakuwa kiofisi tu kama Trump alivyo karibishwa, Xi na Putin wameonekana wakipika pamoja vyakula vya asili vya China, wakinywa pombe , na wamekula pamoja, wamesafiri pamoja kwa treni ya mwendokasi, wameangalia michezo pamoja.