The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Katika hii ziara ambapo Putin ameenda China naona mambo hayakuwa kiofisi tu kama Trump alivyo karibishwa, Xi na Putin wameonekana wakipika pamoja vyakula vya asili vya China, wakinywa pombe , na wamekula pamoja, wamesafiri pamoja kwa treni ya mwendokasi, wameangalia michezo pamoja.
Nimekaa hapa natafakari naona huu ni ujumbe tosha kwa US na NATO, maana hii hospitality amepata Putin ni tofauti kabisa na jinsi Trump alivyokaribishwa.
Naona Xi katuma ujumbe makusudi, ukiachilia hilo wamesaini mkataba , na kikubwa zaidi wamesaini mkataba wenye kurasa 47 , Joint Declaration on a Multipolar World Order,mkataba huo , ni mkakati mzito wa kisiasa uliolenga moja kwa moja kupinga ubeberu na ulimwengu unaoongozwa na nchi moja tu , unipolar, hususani wakiilenga USA.
Nimeshangaa sana maana Trump kaenda China na amerudi mikono mitupu...
Yote na yote Iran imefanya maajabu sana, na imewapa Xi na Putin kiburi hata cha kufanya jambo hili... salute to Iran.
View: https://www.youtube.com/watch?v=za58qXRreZA
Kuna mtu anawatafsiria, Putin anaongea Russian na Xi anaongea Chinese.Wanatumia lugha gan hao wawili hapo???
Nchi za kiarabu hazina ubavu huo UAE hawezi kukubali kwenda vitani ni propaganda za wamagharibiNi sahih mkuu..
Iran anajipanga tena kuingia raundi nyingine, hii ya sasa naona nchi za kiarabu zinaweza kumshambulia, lakini itakuwa hali mbaya kwao.. hususani UAE..
UAE meshaishambulia Iran kwa siri na intel ya Iran ikagundua,na ndio maana ikawa nchi iliyoshambuliwa zaidi, Saudia naona wanaogopa hii vita, Israel ana washawishi waarabu waingie kuimaliza Iran, si unaona amewapa Iron Dome UAE na watu wa kuzi operate?Nchi za kiarabu hazina ubavu huo UAE hawezi kukubali kwenda vitani ni propaganda za wamagharibi
Multipolar kinyume chake ni Unipollar.
Unipollar- single country to control or have a mandate on multiple aspects ie economy and political aspects.
Bipolar ni ugonjwa na huenda ndiyo unaomsumbua POTUS.Kuna faida gani ya dunia kuwa multipolar tofauti na bipolar?
Kwenye hii vita iliyokwisha Iran alitumia akili sana, nilitegemea kuona akitumia makombola ya hypersonic kwa wingi sana.Ni sahih mkuu..
Iran anajipanga tena kuingia raundi nyingine, hii ya sasa naona nchi za kiarabu zinaweza kumshambulia, lakini itakuwa hali mbaya kwao.. hususani UAE..
Ni wajanja sana, hypersonic wanazitumia kimkakati sana...Kwenye hii vita iliyokwisha Iran alitumia akili sana, nilitegemea kuona akitumia makombola ya hypersonic kwa wingi sana.
Mfalme wa mwisho saudia, mpenda haki alikua marehemu king faisal. Kuna documentary moja YouTube, niliwahi kuicheki inaelezea kuhusu ufalme wa Saudi Arabia. Sema nimeisahau humo kuna mambo mengi sana, yamezungumziwa kuhusu hii royal family.UAE meshaishambulia Iran kwa siri na intel ya Iran ikagundua,na ndio maana ikawa nchi iliyoshambuliwa zaidi, Saudia naona wanaogopa hii vita, Israel ana washawishi waarabu waingie kuimaliza Iran, si unaona amewapa Iron Dome UAE na watu wa kuzi operate?
HAwa warabu ni wanafiki wa kiwango cha juu sana, wanajitia wameshika dini lakini ni wala rushwa , wapenda starehe, wanakunywa whiskey za gharama huko kwenye makasri yao ya kifahari, wanavuta cocaine huku wakiwa wamezungukwa na malaya wa kila aina..
Sam na Saudia, hakuna watu pale wote ni wachumia tumbo, ni familia ambazo zinataka kuendelea kuwa mafarakani na kuiona Iran kama threat kwao
Hivi kwanini mashambulizi mengi sana ya Iran yanampiga UAE kuliko wenzie? Kulikoni?Ni sahih mkuu..
Iran anajipanga tena kuingia raundi nyingine, hii ya sasa naona nchi za kiarabu zinaweza kumshambulia, lakini itakuwa hali mbaya kwao.. hususani UAE..
😁😁😁"wakipika pamoja vyakula vya asili vya China, wakinywa pombe , na wamekula pamoja"
.halafu wamatumbi wachache wanadai pombe ni mbaya🤔
Je umeshawahi kutokea hivyo huko nyuma !? History inasemaje !?Dunia yenye nguvu kutoka kwa mataifa mengi, si taifa moja tu kuongoza kila kitu. Dunia isiwe chini ya “superpower” mmoja pekee
Mataifa mengine pia yawe na nguvu sawa kwenye siasa, uchumi na usalama wa dunia
Iran anailaumu UAE hata kwenye lile shambulio la shule ya watoto kule Minab, baada ya watoto zaidi ya 160 kushambuliwa kikatili..Hivi kwanini mashambulizi mengi sana ya Iran yanampiga UAE kuliko wenzie? Kulikoni?
Tuombe visitokee kwani ikiwa hakuna budi basi majirani zake wanaoshirikiana na wanaompiga watapata hasara ambayo itachukua muelekeo mwingine katika maendeleo na siasa zao.Ni wajanja sana, hypersonic wanazitumia kimkakati sana...
Kama unausoma mchezo, US hataki hii vita, ni Israel pekee amebaki kulazimisha hii vita, na ubavu hawana, US kashtuka ameingizwa chaka.. ni aibu kwa superpower..
Iran wanasema vita ya raundi inayofuata wataishangaza dunia.. inasemekana wamejipanga kuliko hata mwanzo wa vita
Karne ya 19 mfumo wa Ulaya wa Balance of Power ulipelekea MultipolarJe umeshawahi kutokea hivyo huko nyuma !? History inasemaje !?