GE2025 Mapokezi ya Rais Samia Jijini Mwanza kuweka rekodi hapo kesho. Maelfu Wajiandaa kumpokea kishujaa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Kanda ya Ziwa inakwenda kusimama,kanda ya ziwa inakwenda kuweka rekodi ,kanda ya ziwa inakwenda Kulipuka kwa shangwe, nderemo na vifijo katika Mapokezi mazito ,ya kihistoria na yatakayo weka rekodi hapa Nchini katika Wingi wa watu wanaotarajiwa kumiminika na kufurika kumpokea Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Wasukuma wamejiandaa kumpokea Mama yetu Mpendwa kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima . Wasukuma wamedhamiria kumpatia heshima na kumuonyesha upendo wao Mama yetu Mpendwa. Wamedhamiria kumuonyesha Mama namna wanavyomuunga mkono ,kumpenda na kumkubali Mama yetu.

Kanda ya Ziwa inasema ipo upande wa Mama ,inamuunga mkono Mama ,inasimama na Mama na ipo Tayari kwenda kutiki Kwa Mama tarehe 29-10-2025. Kanda ya ziwa inataka na imedhamiria kumpatia Mama kura zote za ndio. Hii ni kwa kuwa imeona kazi kubwa iliyofanywa na Mama ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.kazi ambayo imegusa maisha yao.

Wana Mwanza na kanda ya ziwa wameona namna Mama amewawezesha katika shughuli za za kiuchumi kama vile katika uvuvi ,ufugaji n.k.. lakini wameona namna Mama amejenga miundombinu na miradi mbalimbali mikubwa ikiwemo ya madaraja ili kuwawezesha na kurahisisha masuala mazima ya usafiri na usafirishaji.

Kaeni mkao wa kula na msipange kukosa kufuatilia kupitia vyombo vya habari . Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Sauti za watanzania zinamhitaji Rais Samia kurejea Ikulu kuongoza Taifa letu kwa muhula wa pili hadi 2030.
Screenshot_20250616-194048_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kanda ya Ziwa inakwenda kusimama,kanda ya ziwa inakwenda kuweka rekodi ,kanda ya ziwa inakwenda Kulipuka kwa shangwe, nderemo na vifijo katika Mapokezi mazito ,ya kihistoria na yatakayo weka rekodi hapa Nchini katika Wingi wa watu wanaotarajiwa kumiminika na kufurika kumpokea Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Wasukuma wamejiandaa kumpokea Mama yetu Mpendwa kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima . Wasukuma wamedhamiria kumpatia heshima na kumuonyesha upendo wao Mama yetu Mpendwa. Wamedhamiria kumuonyesha Mama namna wanavyomuunga mkono ,kumpenda na kumkubali Mama yetu.

Kanda ya Ziwa inasema ipo upande wa Mama ,inamuunga mkono Mama ,inasimama na Mama na ipo Tayari kwenda kutiki Kwa Mama tarehe 29-10-2025. Kanda ya ziwa inataka na imedhamiria kumpatia Mama kura zote za ndio. Hii ni kwa kuwa imeona kazi kubwa iliyofanywa na Mama ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.kazi ambayo imegusa maisha yao.

Wana Mwanza na kanda ya ziwa wameona namna Mama amewawezesha katika shughuli za za kiuchumi kama vile katika uvuvi ,ufugaji n.k.. lakini wameona namna Mama amejenga miundombinu na miradi mbalimbali mikubwa ikiwemo ya madaraja ili kuwawezesha na kurahisisha masuala mazima ya usafiri na usafirishaji.

Kaeni mkao wa kula na msipange kukosa kufuatilia kupitia vyombo vya habari . Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Sauti za watanzania zinamhitaji Rais Samia kurejea Ikulu kuongoza Taifa letu kwa muhula wa pili hadi 2030.View attachment 3484566

Mwashambwa👆🏾
 
Kibri
 
Wewe Takataka Jamii forum imefungiwa na huyo jambazi shoga ako, kwanini unaketa mahubiri yako humu? Kwanini usiwapelekee CCM wenzio huko Facebook na Instagram?
Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hebu tutajie list ya wasanii watakao paform tujiandae kuja kuona show la bure
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kanda ya Ziwa inakwenda kusimama,kanda ya ziwa inakwenda kuweka rekodi ,kanda ya ziwa inakwenda Kulipuka kwa shangwe, nderemo na vifijo katika Mapokezi mazito ,ya kihistoria na yatakayo weka rekodi hapa Nchini katika Wingi wa watu wanaotarajiwa kumiminika na kufurika kumpokea Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Wasukuma wamejiandaa kumpokea Mama yetu Mpendwa kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima . Wasukuma wamedhamiria kumpatia heshima na kumuonyesha upendo wao Mama yetu Mpendwa. Wamedhamiria kumuonyesha Mama namna wanavyomuunga mkono ,kumpenda na kumkubali Mama yetu.

Kanda ya Ziwa inasema ipo upande wa Mama ,inamuunga mkono Mama ,inasimama na Mama na ipo Tayari kwenda kutiki Kwa Mama tarehe 29-10-2025. Kanda ya ziwa inataka na imedhamiria kumpatia Mama kura zote za ndio. Hii ni kwa kuwa imeona kazi kubwa iliyofanywa na Mama ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.kazi ambayo imegusa maisha yao.

Wana Mwanza na kanda ya ziwa wameona namna Mama amewawezesha katika shughuli za za kiuchumi kama vile katika uvuvi ,ufugaji n.k.. lakini wameona namna Mama amejenga miundombinu na miradi mbalimbali mikubwa ikiwemo ya madaraja ili kuwawezesha na kurahisisha masuala mazima ya usafiri na usafirishaji.

Kaeni mkao wa kula na msipange kukosa kufuatilia kupitia vyombo vya habari . Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Sauti za watanzania zinamhitaji Rais Samia kurejea Ikulu kuongoza Taifa letu kwa muhula wa pili hadi 2030.View attachment 3484566

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
JF si imefungiwa? Kwa hiyo wewe unakiuka maamuzi ya serikali kwa kuendelea kutumia platforms zilizofungiwa?
Mnajielewa kweli ninyi watu?
 
... hoja zilipododa, Polepole, aka DA SLUG, and gang wameamua kuunda story za kutekwa kwa Polepole, ambaye hayuko Bongo!
TAFADHALI SANA KITENGO CHA FORENSICS CHA POLICE KIPIME VINASABA VYA HIYO DAMU,NA NINA UHAKIKA, NI FAKE, NA KAMA SIO FAKE BASI KWAKWELI JAMAA WAMEJIANDAA KIASI CHA MTU KURIDHIA KUGEMWA NUSU LITA YA DAMU KWA AJILI YA USHAHIDI FAKE!
HATARI SANA!
 
watatumia hata damu za wanyama kama kondoo, mbuzi nk
 
Back
Top Bottom