Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Kanda ya Ziwa inakwenda kusimama,kanda ya ziwa inakwenda kuweka rekodi ,kanda ya ziwa inakwenda Kulipuka kwa shangwe, nderemo na vifijo katika Mapokezi mazito ,ya kihistoria na yatakayo weka rekodi hapa Nchini katika Wingi wa watu wanaotarajiwa kumiminika na kufurika kumpokea Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Wasukuma wamejiandaa kumpokea Mama yetu Mpendwa kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima . Wasukuma wamedhamiria kumpatia heshima na kumuonyesha upendo wao Mama yetu Mpendwa. Wamedhamiria kumuonyesha Mama namna wanavyomuunga mkono ,kumpenda na kumkubali Mama yetu.
Kanda ya Ziwa inasema ipo upande wa Mama ,inamuunga mkono Mama ,inasimama na Mama na ipo Tayari kwenda kutiki Kwa Mama tarehe 29-10-2025. Kanda ya ziwa inataka na imedhamiria kumpatia Mama kura zote za ndio. Hii ni kwa kuwa imeona kazi kubwa iliyofanywa na Mama ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.kazi ambayo imegusa maisha yao.
Wana Mwanza na kanda ya ziwa wameona namna Mama amewawezesha katika shughuli za za kiuchumi kama vile katika uvuvi ,ufugaji n.k.. lakini wameona namna Mama amejenga miundombinu na miradi mbalimbali mikubwa ikiwemo ya madaraja ili kuwawezesha na kurahisisha masuala mazima ya usafiri na usafirishaji.
Kaeni mkao wa kula na msipange kukosa kufuatilia kupitia vyombo vya habari . Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Sauti za watanzania zinamhitaji Rais Samia kurejea Ikulu kuongoza Taifa letu kwa muhula wa pili hadi 2030.View attachment 3484566
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kaa tayari kushuhudia mapokezi mazito hapo kesho. Oktoba ni kwenda kutiki tu Kwa Mama.View attachment 3484572
Mwashambwa👆🏾
Kaa tayari kushuhudia mapokezi mazito hapo kesho. Oktoba ni kwenda kutiki tu Kwa Mama.
KibriNdugu zangu Watanzania,
Kanda ya Ziwa inakwenda kusimama,kanda ya ziwa inakwenda kuweka rekodi ,kanda ya ziwa inakwenda Kulipuka kwa shangwe, nderemo na vifijo katika Mapokezi mazito ,ya kihistoria na yatakayo weka rekodi hapa Nchini katika Wingi wa watu wanaotarajiwa kumiminika na kufurika kumpokea Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Wasukuma wamejiandaa kumpokea Mama yetu Mpendwa kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima . Wasukuma wamedhamiria kumpatia heshima na kumuonyesha upendo wao Mama yetu Mpendwa. Wamedhamiria kumuonyesha Mama namna wanavyomuunga mkono ,kumpenda na kumkubali Mama yetu.
Kanda ya Ziwa inasema ipo upande wa Mama ,inamuunga mkono Mama ,inasimama na Mama na ipo Tayari kwenda kutiki Kwa Mama tarehe 29-10-2025. Kanda ya ziwa inataka na imedhamiria kumpatia Mama kura zote za ndio. Hii ni kwa kuwa imeona kazi kubwa iliyofanywa na Mama ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.kazi ambayo imegusa maisha yao.
Wana Mwanza na kanda ya ziwa wameona namna Mama amewawezesha katika shughuli za za kiuchumi kama vile katika uvuvi ,ufugaji n.k.. lakini wameona namna Mama amejenga miundombinu na miradi mbalimbali mikubwa ikiwemo ya madaraja ili kuwawezesha na kurahisisha masuala mazima ya usafiri na usafirishaji.
Kaeni mkao wa kula na msipange kukosa kufuatilia kupitia vyombo vya habari . Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Sauti za watanzania zinamhitaji Rais Samia kurejea Ikulu kuongoza Taifa letu kwa muhula wa pili hadi 2030.View attachment 3484566
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mama muuaji!Kaa tayari kushuhudia mapokezi mazito hapo kesho. Oktoba ni kwenda kutiki tu Kwa Mama.
Mbona wewe hujauwawa na ujinga wakoMama muuaji!
Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata MbinguniWewe Takataka Jamii forum imefungiwa na huyo jambazi shoga ako, kwanini unaketa mahubiri yako humu? Kwanini usiwapelekee CCM wenzio huko Facebook na Instagram?
Wewe maku kweli, kwa hivyo kama mie sijauawa akiua wengine wanaomkosoa ndio sawa???.Mbona wewe hujauwawa na ujinga wako
Ndio nataka nione ukiuwawa ili nithibitisheWewe maku kweli, kwa hivyo kama mie sijauawa akiua wengine wanaomkosoa ndio sawa???.
JF si imefungiwa? Kwa hiyo wewe unakiuka maamuzi ya serikali kwa kuendelea kutumia platforms zilizofungiwa?Ndugu zangu Watanzania,
Kanda ya Ziwa inakwenda kusimama,kanda ya ziwa inakwenda kuweka rekodi ,kanda ya ziwa inakwenda Kulipuka kwa shangwe, nderemo na vifijo katika Mapokezi mazito ,ya kihistoria na yatakayo weka rekodi hapa Nchini katika Wingi wa watu wanaotarajiwa kumiminika na kufurika kumpokea Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Wasukuma wamejiandaa kumpokea Mama yetu Mpendwa kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima . Wasukuma wamedhamiria kumpatia heshima na kumuonyesha upendo wao Mama yetu Mpendwa. Wamedhamiria kumuonyesha Mama namna wanavyomuunga mkono ,kumpenda na kumkubali Mama yetu.
Kanda ya Ziwa inasema ipo upande wa Mama ,inamuunga mkono Mama ,inasimama na Mama na ipo Tayari kwenda kutiki Kwa Mama tarehe 29-10-2025. Kanda ya ziwa inataka na imedhamiria kumpatia Mama kura zote za ndio. Hii ni kwa kuwa imeona kazi kubwa iliyofanywa na Mama ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.kazi ambayo imegusa maisha yao.
Wana Mwanza na kanda ya ziwa wameona namna Mama amewawezesha katika shughuli za za kiuchumi kama vile katika uvuvi ,ufugaji n.k.. lakini wameona namna Mama amejenga miundombinu na miradi mbalimbali mikubwa ikiwemo ya madaraja ili kuwawezesha na kurahisisha masuala mazima ya usafiri na usafirishaji.
Kaeni mkao wa kula na msipange kukosa kufuatilia kupitia vyombo vya habari . Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Sauti za watanzania zinamhitaji Rais Samia kurejea Ikulu kuongoza Taifa letu kwa muhula wa pili hadi 2030.View attachment 3484566
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
watatumia hata damu za wanyama kama kondoo, mbuzi nk... hoja zilipododa, Polepole, aka DA SLUG, and gang wameamua kuunda story za kutekwa kwa Polepole, ambaye hayuko Bongo!
TAFADHALI SANA KITENGO CHA FORENSICS CHA POLICE KIPIME VINASABA VYA HIYO DAMU,NA NINA UHAKIKA, NI FAKE, NA KAMA SIO FAKE BASI KWAKWELI JAMAA WAMEJIANDAA KIASI CHA MTU KURIDHIA KUGEMWA NUSU LITA YA DAMU KWA AJILI YA USHAHIDI FAKE!
HATARI SANA!
Baba wakambo wa UVCCM.Shemeji la Taifa.
... ninahisi mbinu hii imeanza kutumika Kwa Mdude!watatumia hata damu za wanyama kama kondoo, mbuzi nk
Kina Kibao, Mdude and others hao siyo binadamu?Mbona wewe hujauwawa na ujinga wako