Mapokezi ya Rio Ferdinand hapo Airport ya Dar, yamenipa maswali mengi kuliko majibu

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Watu wamejitokeza kwa wingi lakini wananipa mashaka kama wameenda kwa hiyari yao au wamekusanywa kwa malipo.

Rio Ferdinand alishastaafu mpira miaka hiyo. Hakuwa na ushawishi mkubwa sana ukizingatia alikuwa anacheza nafasi ya beki.

Sasa kwa nyomi iliyojitokeza imenipa maswali maana hata wengi wao hawajamshuhudia wakati akicheza, vipi siku akija Messi au Cristiano Ronaldo?
 
CCM Wana vituko hapo wanapiga mahesabu yao wanahisi hizo drama zitapunguza moto wa OCT 29
Bado unaota kuhusu 29 Oct?, jitafutie mkate wa wanao kama unao mkuu mana kila kilichotokea siku hiyo kilishapangwa tena na hao hao wazungu.
 
Fertunus Buyobe usitumalize asee nasi tunapenda kuishi. Tubu mtu wangu.
 

Attachments

  • HpiO8.jpg
    132.4 KB · Views: 17
Hii pia inaweza kuwa ishara ya nchi iliyo na watu wengi wasio na kazi.
 
Gentlemam
wivu na chuki binafsi nonsense , kwasa ndio chimbuko kuu la magonjwa ya moyo yanayosumbua vijana wengi sana nchini,

lakini pia huchangia pakubwa sana kutambua kwa urahisi sana vijana wenye dalili na wanaoelekea kupatwa na changamoto ya afya ya akili

be positive gentleman 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…