Mapokezi ya Rio Ferdinand hapo Airport ya Dar, yamenipa maswali mengi kuliko majibu

Mapokezi ya Rio Ferdinand hapo Airport ya Dar, yamenipa maswali mengi kuliko majibu

Kumtetea Makonda ni kazi ngumu sana. Mimi ninadhani Makonda angeongea na mwenzake wa Maliasili na Utalii ili kuwapata wale watu maarufu wanaokujaga nchini kimyakimya badala ya kutumia gharama kumleta mstaafu kama Rio Ferdinand. Wachezaji maarufu wengi sana kipindi cha mapumziko hutembelea Tanzania kimyakimya bila media kujua.
 
Back
Top Bottom