Mapokezi ya Rio Ferdinand hapo Airport ya Dar, yamenipa maswali mengi kuliko majibu

Inaonesha Dar watu wengi hawana kazi ya kufanya mcheki huyo mama na mtoto mdogo
 
Bado unaota kuhusu 29 Oct?, jitafutie mkate wa wanao kama unao mkuu mana kila kilichotokea siku hiyo kilishapangwa tena na hao hao wazungu.
Siku mamuwaji yakikukuta kwenye familia yako wenzio nao watanyamaza wakiendelea kutafuta mkate wa wana wao.
Italian hakuna atakaye kusikikiza Wala kukusaidia maana watakuwa wameishakufa wote umrbaki wewe na nduguzo na hao wauwaji.
Fikiri kiongozi, fikiria tena kwa makini.
Leo hayakusu kesho yatakuhusu.

Pemba yaliwahusu 2001, watu wa Unguja na Tanganyika wakanyamazia waliona hayawahusu.
Fast forward 2025 Tanganyika yamewakuta, wapemba hayawahusu wanatafutia mkate familia zao.
Usinyamazie uovu na uonevu kemea kwa nguvu zote.
 
Ufinyu na upeo mdogo wq viongozi matahira kama Makonda!, kwamba huyo mchezaji ndio ataifanya Taifa stars ichukue afcon?. Juzi kamleta Drogba l,leo Rio ukifuatilia bajeti yake ni mamilion ya pesa za walipa kodi... Afu unakuta mitanzania inashangikia kama kaja kushusha bei ya mafuta.
 
Fiada ya kuwa jobless mtaani
 
Ni sehemu ya utalii.
Kila mtu afurahie haya maisha kwa namna inavyofaa bila ya kumkera mwingine.
 
Wewe ni mjinga lakini
 
Mie naona Africa yote inafanana tu, Hivi yule Speedy alieisimamisha Kenya hadi na South Africa na Rio Ferdinand yupi anafaa watu kujitokeza kumpokea?? Maana mamtoni hao ni watu wa kawaida tu unapishana nao kwenye ma shopping malls. Umaskini ni mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…