Watu hawana kazi na hawana akili ndio mtaji wa mafiisiienu watu hawana ajira mafuta bei juu wanaenda kucheza sinema za bashite anayetumia hela za walioakodi. Nchi hiyo bahati mbaya sana
Kumtetea Makonda ni kazi ngumu sana. Mimi ninadhani Makonda angeongea na mwenzake wa Maliasili na Utalii ili kuwapata wale watu maarufu wanaokujaga nchini kimyakimya badala ya kutumia gharama kumleta mstaafu kama Rio Ferdinand. Wachezaji maarufu wengi sana kipindi cha mapumziko hutembelea Tanzania kimyakimya bila media kujua.
hapana sio ushamba, ni umasikini tu, ww unadhani hao wote hapo wanajua hata kinachoendelea au wamebebwa tu ili wapate pesa ya mboga. hao wanafunzi hawajui hata hapo wamefuata nini
mm ndo kwanza hapa ndo najua huyo jamaa yupo nchini